Ipi bora zaidi kati ya Kitochi 4G Smart ya Tigo au Vodacom

Naona kama wengine wanataka wakitwishe majukumu ya smartphone kama fb, whatsapp, instagram, jf nk. Achana na mpango wako, kitumie hiki kitu kama simu yoyote ya kitochi lilivyo. Ila unaweza kukifanya mbadala wa modem.
Je kwny setting za internet Simcard ya pili ukiacha ile ya mtandao husika na nayo ina internet ya 3g/4g
 
ipo kwenye setting kipengelea cha internet sharing, sijajua kama uki enable mara moja inakuwa automatic ama la.
Je kuna updated info, yoyote kuhusu haya maelezo?, Maana karibuni nataka niichukue kwa matumizi kama modem
 
Jaribu kama unanunua utaona bei halisi, hio $12 unaweza kuipata ukifanya order 1000 ama 10,000. Alibaba ni b2b sio retail site.
Alibaba sio web sahihi kwa manunuzi ya 1pc or 2pcs
Sababu wao watataka wakutumie kwa express via DHL kama sample.

Hivyo freight cost huwa kati ya dola 22 hadi 33 kutegemea na seller.

Kwa reja reja site sahihi ni
- aliexpress
- banggood
- gearbest
- geekbuying

www.bit.ly/101buy4me
 
1576044703759.png


Katika pita pita mtandaoni nimekutana na hii.
> Nokia 800 Tough - Full phone specifications

Naona inakidhi mahitaji ( wifi / modem )

Nafuatilia zaidi upatikanaji na price yake.

Matoleo mengine ya simu zenye KAIOS: Meet The Devices That Are Powered by KaiOS - KaiOS
 
Back
Top Bottom