Ipi bora kati ya Bachelor of Science in Economic policy and planning (Mzumbe) na Agriculture Economics and Agribusiness (SUA)?

Mundele Makusu

JF-Expert Member
Sep 28, 2021
883
1,307
Best AEA for those courses,but it depends also with what you like, connection iliopo for such course.. EPP imebase sana kwene sera Sana(pure mchumi)) but AEA imebase kwene kilimo na biashara #kila la kheri kwa watakao soma kozi husika MUNGU awatangulie
 
Wapendwa katika bwana habari zenu. naomba ushauri wa kozi gani nzuri Kati ya bachelor of science in economic policy and planning (inayotolewa mzumbe) vs agriculture economics and Agri business (inayotolewa sua).

Na pia UFAfanuzi kwamba kozi hizi zinahusiana na nn??,soko la ajira pia baina ya kozi hizo mbili .MM ni first year to be
Hiyo ya mzumbe ni pure uchumi ila hiyo ya SUA japo ni uchumi ila ime base sana kwenye kilimo na biashara ya mazao. Sasa dont get me wrong hata hii ya SUA utasoma kozi za muhimu za uchumi kuanzia micro to macro economics!

Ni wewe tu!!
 
Ahaaaa nashukuru kwa kwl ,kama ni pure uchumi hio ya mzumbe manake inawafaa Sana Sana waliosomea kombi zenye economics , kombi Kama pcb,pgm, PCM watapata tabu Sana kwa kozi hio apo???
Kipindi najiandaa kuanza chuo nilikua na jamaa yangu yeye alisoma PCM, wakati kila mtu anaamini jamaa ni injinia mtarajiwa cha kushangaza hakuenda kusoma uhandisi bali alienda kusoma uhasibu!

Mpaka nnapoandika hapa jamaa ni mhasibu mzuri tu!

Kitu unatakiwa ujue kombi haina influence sana chuoni. Mkifika first year wote mnaanza moja! Uwe hkl, eca, hge nk nk! Wote mnaanza moja! Sasa hapo ni juhudi zako tu!
 
Kuna jamaa angu alisoma ECA,akachaguliwa bcom in accounting udbs,lahaula,mwaka wa pili akadisco na ECA yake,but kwenye hiyo kozi kulikua na watu wa hgl,hgk,hkl na pcb ambao wao walifanikiwa kugraduate.so ni kweli kabisa kombi haina influence ya baadhi ya kozi za chuo ukitoa kozi za afya na uhandisi.
 
hapa umetudanganya HGL, HGL, HKL, wanasomea bcom ya accounting UDSM?????????
 
Back
Top Bottom