iphone4 na blackberry curve phones for sale bei lak 4

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,266
9,654
elmagnifico 22:00 Yesterday
blackberry curve ni lak 3.7 mpya ninazo 6
iphone 4 ni lak 4. 5 mpya ninazo 7
samsung galaxy lak 6 ipo 1
 

Memo

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
2,157
759
aseee!!!
sasa mukubwa..........mbona blackberry unauza ghali halafu hizo iphone 4 unauza rahisi????!!

mbona kama too good tobe true
 

mfianchi

Platinum Member
Jul 1, 2009
11,285
7,303
Jamani kwani kuuza kwa bei ndogo imeshakuwa tatizo ,mnanikumbusha wakati nakua wazee wetu enzi hizo walikuwa wakienda dukani mathalani kununua baiskeli waliokuwa wakifika wanasema nataka baisekili ya sh 100,muhindi anawaambia hizi ni zilizopo ambazo mnaziona mimi nauza sh 80,wazee wangu watasema ah mbona bei rahisi hivyo hiyo sio bei ya Railegh (baiskeli zilizokuwa za hali ya juu enzi hizo),muhindi atazidi kuwaambia hizi ni railegh mimi nauza sh 80 baado wazee wangu watasema ah hiyo sio Raleigh ya kutoka Crown hiyo ilikuwa ni zamani sasa siku hizi kila mtu anauza vitu vyake anavyoona yeye itamsaidia sasa kama ni original or fake inabidi uwasiliane naye na utakapokuwa unanunua si utaangalia kama ni fake au original ,kama huelewi nenda TBS bana
 

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
9,335
8,331
iphone 4 laki nne mkuu acha utapeli,mpaka sasa bila dola 800 hujapata iphone 4
umeiba wp hizo mchina?
 

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,130
919
Kaha..http://store.apple.com/us/browse/home/shop_iphone/family/iphone

http://store.apple.com/us/browse/home/shop_iphone/family/iphone
title-iphone-4_20110428.pngtitle-iphone-3gs_20110428.pngApple Retail Store
Price


$199[SUP]1[/SUP]16GB[SUP]2[/SUP]
$299[SUP]1[/SUP]32GB[SUP]2[/SUP]

$49[SUP]1[/SUP]8GB


 

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,410
3,162
Mkuu usiwaingize watu mkenge hakuna iphone 4 unaweza pata kirahisi hivyo kama mleta tangazo alivyofanya na hizo ni mchina pure.
Hizo bei ulizoweka hapo kum sapport jamaa ni simu za promotion kwa mitandao ya at&t na verizon na zinatumia technolojia ya cdma , hazitumii simcard na huwezi kuzichakachua kwaajili ya carrier wengine zaidi ya at&t na verizon tu.
Bei zao halisi click palipo andikwa

[h=3]Or get iPhone unlocked and contract-free[/h]
16gb usd 649 na
32gb usd 749

Nenda hata ebay zinakouzwa used uone bei zake iphone 4 | eBay, na hapa ndio tunategemaea kupata cheap phones
Yeye kapata mchongo gani hadi apate simu hizo mpya kwa bei bwerere kiasi hichoo(inawezekana lakini kama kacheza deal na watu wa ndani wa mac)
haiingii akilini bb curve bei ghali kuliko iphone 4 tena mpya
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom