Kuna badhadhi mkuuWatu...nazo pesaaaa!!!
i cant imagine nalipa million2 kwa simu ya mkononi. There some better things to do with my money. Ni bora nika invest kwenye entertainment system ya living room kwangu. Kwa laki 4 napata android nzuri tu yenye kila kitu nachotaka from Nairobi!Kuna badhadhi mkuu
Hahaha Mkuu wewe si huna pesa ndio maana (kwa taarifa tu ata iyo ya laki nne ambayo umeizingumzia ni bora kuna mwezio pia anakuona kama wewe unavyomuona uyo atakayenunua ya 2m pesa ikikutembelea Mkuu utaona ni kama kula chips yai tu )i cant imagine nalipa million2 kwa simu ya mkononi. There some better things to do with my money. Ni bora nika invest kwenye entertainment system ya living room kwangu. Kwa laki 4 napata android nzuri tu yenye kila kitu nachotaka from Nairobi!
Hahahah sijui man labda ziwe hela za kuzidi ndugu yangu kama za bwana mo. Hela ambayo hata kioo cha simu kikipasuka sipotezi appetite ya kula!Hahaha Mkuu wewe si huna pesa ndio maana (kwa taarifa tu ata iyo ya laki nne ambayo umeizingumzia ni bora kuna mwezio pia anakuona kama wewe unavyomuona uyo atakayenunua ya 2m pesa ikikutembelea Mkuu utaona ni kama kula chips yai tu )
Note: Mimi na wewe sote hatutofautiani ila kuna wenzetu wengine .............kwao ni kama nyama choma
Nahitaji iPhone 6 ya 16gb kwa bajeti ya 400000/= au iPhone 6 plas kwa 500000/= kama utanipatia nicheki kwa 0717733340
Mkuu iyo unaweza pata tecno w3 ila izo hatuna apaMkuu kwa bajeti ya 150,000/= naweza kupata sm ya aina gani?
Sawa mkuu, lini utakuwa nayo?Mkuu iyo unaweza pata tecno w3 ila izo hatuna apa
Izo siziuzi kabisa yanSawa mkuu, lini utakuwa nayo?