IPhone X

High Vampire

JF-Expert Member
Nov 17, 2012
2,915
2,083
Katika kujaribisha kufungua IPhone X imeshindwa kutofautisha na imejikuta ikijifungua kwa watu wafananao yaani Mapacha

Wametumwa Kuichafua iPhone mbona simu haioneshi kuwa imefungwa?

Apple walitumia Vitundu za ya 30,000 vilivyopo usoni ikiwa na uwezo wa Ku unlock hata usiku au hata unyoe kipara au Uvae Wigi hao wanataka kuichafua brand tuu kama hao pacha wa kijapan hata hawafanani
 
Touch id is more secure than face id.

Mkuu kaangalie review you tube utaelewa kwa nini face id badala ya touch id ,.. me ni mpenzi wa iphone lakini sikutegemea kama iphone x ingekuwa na perfect face id kiasi hiki .. kwa haraka haraka competitors itawachukua two years kufanya kitu kama kile.

Hata ubadili miwani aina kumi na zaidi bado inakutambua , hata unyoe au ufuge ndevu bado inakutambua, ukivaa miwani ukafumba macho lock haitoki ila ukifumbua lock inatoka , kuna feature nyingine kama ku expand notifications pindi unapoitazama kama si mhusika notification hazi expand , hii simu ni balaa ndo maana pre order zishaisha mpaka sasa

You tubers wengi waliokuwa wanaiponda wamegeuza maneno yao baada ya kuishika mkononi ..
 
microsoft anayo tayari windows Hello,
 
Binafsi napendelea zaidi touch id ila apple kuondoa ile home button kwenye iphone x naona kama wamepunguza uzuri wa simu.
 
Huawei sumsung walivyotoa wamepoteza identity Yao?
Nimeongelea iphone na ni mtazamo wangu.
Identity moja ya iphone ni hiyo home key na ndiyo maana wengi walihisi atatengeneza home key iwe embedded within the screen pamoja na touch sensor.
But all in all iphone uwa game changer
 
bongo inauzwaje hii simu......nataka nikabeti nile ela niinunue
 
Back
Top Bottom