Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,019
- 21,913
Sio kwa simu za maana.Huo upuuzi kinacho angaliwa kwenye upande wa camera sio mps ni aperture
Cc:chief- mkwawa njoo kwa ufafanuzi
Sio kwa simu za maana.Huo upuuzi kinacho angaliwa kwenye upande wa camera sio mps ni aperture
Cc:chief- mkwawa njoo kwa ufafanuzi
tech iko kasi mkuu tutafika huko.kama wamelet wireless charge bax kuna wakati 2takuwa 2narushiana charge whatsapp