IPHONE X v/s SAMSUNG s6 ?????.

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
9,019
21,913
Screenshot_2017-09-19-11-20-56-1.png
 
Huo upuuzi kinacho angaliwa kwenye upande wa camera sio mps ni aperture

Cc:chief- mkwawa njoo kwa ufafanuzi
 
Huo upuuzi kinacho angaliwa kwenye upande wa camera sio mps ni aperture

Cc:chief- mkwawa njoo kwa ufafanuzi
Sio kwa simu za maana.

Ndio maana apple hawajabaki na 5 mp zile zile za ktk iphone 4,wanapanda kila toleo.
 
kama wamelet wireless charge bax kuna wakati 2takuwa 2narushiana charge whatsapp
tech iko kasi mkuu tutafika huko.

Ila hii iliyopo sasa bado ni ujinga maana charger haina wire tu,Ila sio kwamba simu unakaa nayo mita kadhaa NO,unaiweka ktk charger isiyo na wire.
 
Back
Top Bottom