iPhone Users!

beer

Member
Aug 1, 2016
11
5
Habari!

Tafadhali...Nahitaji Kufahamu Jinsi ya Kudownload Music na Videos through iPhone Device.
 
Mkuu wakija watuambie na kudownload movies,

Na kama kuna mtu anaweza k-jail break atupe maujanja
 
Mi Naomba kufahamu audio nilizotumuwa nazipata wapi/zimejisevu sehemu gani kwenye iphone7
 
Me na njia kama tatu za kukuambia lakini 1•TUMIA TUBIDY danwload iyoni rahisi zaidi2• tumia DOCUMENT ila hiyo inalong convetion sana kuieleza bt nenda kwa youtube inakua poa zaidi
 
Habari!

Tafadhali...Nahitaji Kufahamu Jinsi ya Kudownload Music na Videos through iPhone Device.
Tumia app inautwa tubidy lakini ukidownload zinabaki kwenye hiyo app utaplay huko huko hazisomi kwenye inbuilt app ya music
 
Mi Naomba kufahamu audio nilizotumuwa nazipata wapi/zimejisevu sehemu gani kwenye iphone7

Very easy mkuu

Unaweza hamishia sehem unayotaka mfano from whatsap to VLC au from whatsap to Files (uwe na ios 11) na ukazi organise vizuri sehem unayotaka , fanya kama una share then copy to other apps or save kweye files . Media zako zinakuwa organised vizuri tu .

Anza hivi , hapo kwenye alama ya share click hapo
362a4c79d414ef9086b8786a409b59c8.jpg

Then copy to any app /app yako unayotumia kwenye media au files kama unavyoona hapa chini
0938c25b7540712b593be41f905dbd12.jpg
 
Hahaa naona ios 11 inafix baadhi ya ujinga wa ios.good move.
 
Mkuu unazijua iphone kweli ? Media and files organising ilikuwepo kitambo

Katika maelezo yangu hapo juu ni kwamba ios 11 wameongeza app inaitwa files ambayo iko linked na icloud, hii ni extra app tu kwa ajiri ya ku organise files ila ku save media ilikuwepo mda sema watu wana wrong perception , from whatsap kwenda app nyingine au app kwenda app ipo mda tu kwa njia ya share au copy . Apple wanataka mtu awe organised ndo maana file hazijisave tu anywhere wanataka user mwenyewe mdo aamue kitu gani anaweka wapi. Hata video /picha uki download whatsap usipo save haijipeleki kwenye gallery mpaka uamue, faida ya hii ni kuepuka un neccesary contents kwenye simu

Files app kwenye ios 11 ni kama ilivyokuwa ibooks kwa ajiri ya kuweka documents.
 
Kwa mtu ambae yuko nyuma ya ios 11 anaweza vipi copy hizo voice clips na kusave kwenye files atakazo?
 
Mkuu unazijua iphone kweli ? Media and files organising ilikuwepo kitambo

Katika maelezo yangu hapo juu ni kwamba ios 11 wameongeza app inaitwa files ambayo iko linked na icloud, hii ni extra app tu kwa ajiri ya ku organise files ila ku save media ilikuwepo mda sema watu wana wrong perception , from whatsap kwenda app nyingine au app kwenda app ipo mda tu kwa njia ya share au copy . Apple wanataka mtu awe organised ndo maana file hazijisave tu anywhere wanataka user mwenyewe mdo aamue kitu gani anaweka wapi. Hata video /picha uki download whatsap usipo save haijipeleki kwenye gallery mpaka uamue, faida ya hii ni kuepuka un neccesary contents kwenye simu

Files app kwenye ios 11 ni kama ilivyokuwa ibooks kwa ajiri ya kuweka documents.

Mbona umeanza na swali la kishamba!!!!kuna asiyeijua iphone hapa mjini???au unamaanisha kupigia selfie bafuni??

Kuna sehemu nimeandika haijawahi kuwezekana kuhamisha na kusave file hapo kabla???
 
Mkuu matusi hayafai , kuna nyuzi nyingi tu humu kama kitu hukijui pita achana nacho , nimesema huzijui iphone kwa sababu mbili kwanza ulisema lazima asikilizie whatsap huko huko that means hujui kwamba its possible ku save audio, post yako hii hapa
b9daceeda6a419fc9c475f0c54ab3764.jpg

Baada ya kuona post yangu ukani quote ukasema hiyo issue ya ku save imekuwa resolved kwenye ios 11 kitu ambacho kinaonesha hauko informed.

Sasa hapo utaamua mshamba nani mkuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom