Unasikilizia whatsapp huko huko.Mi Naomba kufahamu audio nilizotumuwa nazipata wapi/zimejisevu sehemu gani kwenye iphone7
Tumia app inautwa tubidy lakini ukidownload zinabaki kwenye hiyo app utaplay huko huko hazisomi kwenye inbuilt app ya musicHabari!
Tafadhali...Nahitaji Kufahamu Jinsi ya Kudownload Music na Videos through iPhone Device.
Zinabaki huko huko whatsapp.Mi Naomba kufahamu audio nilizotumuwa nazipata wapi/zimejisevu sehemu gani kwenye iphone7
Mi Naomba kufahamu audio nilizotumuwa nazipata wapi/zimejisevu sehemu gani kwenye iphone7
Hahaa naona ios 11 inafix baadhi ya ujinga wa ios.good move.Very easy mkuu
Unaweza hamishia sehem unayotaka mfano from whatsap to VLC au from whatsap to Files (uwe na ios 11) na ukazi organise vizuri sehem unayotaka , fanya kama una share then copy to other apps or save kweye files . Media zako zinakuwa organised vizuri tu .
Anza hivi , hapo kwenye alama ya share click hapo
Then copy to any app /app yako unayotumia kwenye media au files kama unavyoona hapa chini
Hahaa naona ios 11 inafix baadhi ya ujinga wa ios.good move.
Mkuu unazijua iphone kweli ? Media and files organising ilikuwepo kitambo
Katika maelezo yangu hapo juu ni kwamba ios 11 wameongeza app inaitwa files ambayo iko linked na icloud, hii ni extra app tu kwa ajiri ya ku organise files ila ku save media ilikuwepo mda sema watu wana wrong perception , from whatsap kwenda app nyingine au app kwenda app ipo mda tu kwa njia ya share au copy . Apple wanataka mtu awe organised ndo maana file hazijisave tu anywhere wanataka user mwenyewe mdo aamue kitu gani anaweka wapi. Hata video /picha uki download whatsap usipo save haijipeleki kwenye gallery mpaka uamue, faida ya hii ni kuepuka un neccesary contents kwenye simu
Files app kwenye ios 11 ni kama ilivyokuwa ibooks kwa ajiri ya kuweka documents.

Mbona umeanza na swali la kishamba!!!!kuna asiyeijua iphone hapa mjini???au unamaanisha kupigia selfie bafuni??
Kuna sehemu nimeandika haijawahi kuwezekana kuhamisha na kusave file hapo kabla???