iPhone Users!

Nenda settings , iTunes App Store ingia hapo Badili region weka USA au nchi nyingine zinazo support iTunes purchase . Itakuja fasta

Mbona option ya kuchagua region hapo haipo au unaipata wap?
IMG_1243.JPG
 
Very easy mkuu

Unaweza hamishia sehem unayotaka mfano from whatsap to VLC au from whatsap to Files (uwe na ios 11) na ukazi organise vizuri sehem unayotaka , fanya kama una share then copy to other apps or save kweye files . Media zako zinakuwa organised vizuri tu .

Anza hivi , hapo kwenye alama ya share click hapo
362a4c79d414ef9086b8786a409b59c8.jpg


Then copy to any app /app yako unayotumia kwenye media au files kama unavyoona hapa chini
0938c25b7540712b593be41f905dbd12.jpg
Ni mwaka wa pili natumia iphone, ila hii post yako imenifumdisha kitu ambacho nisingekijua mpaka 2020.
 
Inafanya hata iphone 4 unaweka !

Jioni nikipata mda ntafungua uzi jinsi ya ku log in iTunes maana hii imekuwa issue hasa kwenye nchi zetu !

Daaaah bro ahsante hapo kwa hint kidogo uliyo toa

Nimeitumia na kitu kiko vizuri kwa sasa

Mercie
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom