iPhone ni kama gereza la kifahari. Ni kwajili ya fasheni tu, hutaweza kufanya vitu muhimu vifuatavyo...

Team huawei hapa before US sanctions ni ,iPhone ziko over priced na zimepoteza wow factory ya miaka ya nyuma.
 
Tecno,itel,oppo huawei na android kwa ujumla zipo kwa majaribio ya mawasiliano
Android user wote wapo ktk research ya matumiz ya smartphone
 
Kuna vitu sio kweli mfano earphone mim natumia iphone na earphone natumia za tecno,

pia kuhusu kudownload vitu mim nin nyimbo na video na movie kibao nadownload na kuziangalia pia

Note:
ILA PAMOJA NA YOTE UKWELI NI KWAMBA HAZIMPI UHURU MTUMIAJI WAKE
 
basi pasipo na shaka unatumia iphone ya zamani za mwaka 2015 kurudi nyuma, yani iphone 6, 5, 4

Kuhusu kudownload nyimbo sio hivi hivi inabidi mtu awe mtundu kidogo nadhani ni hadi mtu aweke app ya ziada
 
Hapo kwenye kutoa flash alert sio kweli pia pengine unaweza kuwa sahihi ktk baadhi ya mambo ila mengine nakuomba utumie kwanza iphone uijue vzuri, kuhusu flashalert sehem ipo inaitwa LED FLASH-ALERT!! Chunguza simu yako
 
pia umechapia ktk ulaji wa chaji kijana mi mtaalam, fundi pia muuzaj wa simu, nmetumia simu nying san na nmeuza simu nyingi pia asikudanganye mtu hapa duniani simu zenye bettry mbovu ni SAMSUNG labla kidogo hizi A-series (mfano A10,20,50 n.k)

Simu inazokaa chaji san ni tecno then znafata iphone asikudanganye mtu,
 
Namba 15 pia sio kweli fanya uchunguzi app zipo zinazoweza kutoa mwongozo kwa iphone devices kudetect visual audio devices na kutumika kama remote control ktk tv mim natumia iphone 8+ na inakubal ktk LG SMART TV....

NOTE:
Simu kuweza kuwa kama remote control ya tv tambua kuwa sio kila tv ina uwezo wa kumatch au kulink na simu yako Tv yako kwanza lazma iwe flat ambayo ni SMART TV kijana cuz ndani yake inakuwa tayar na mfumo wa WIRELESS CONNECTIONfanya uchunguzi then urudi tena!
 
1. i phones ni gharama, Hapa sitazungumza sana, nachoomba tu nenda duka linalouza i phones mpya (sio mitumba / refurbished) kaulize bei, Inabidi uwe vizuri kiuchumi, Hata hivyo bado kuna watu hapa bongo wanalazimisha kununua i phones za milioni 2 licha ya hali zao za ki uchumi kuto endana kabisa na bei za simu, kundi hili hununua simu hizi kwa lengo la kufeki maisha waonekane wana pesa kumbe wanajidanganya.

3. Hakuna tundu la kuingiza earphone hizi zilizozoeleka za pini, hapa hadi ununue vifaa vya ziada, huku android ukinunua ear phone unaitumia hapo hapo

3. Andaa laini moja tu, kuna matoleo machache sana yenye laini 2.

4. Kudownload nyimbo hata humu jamiifroums ama mtandaoni ni ishu nzito

5. Kuhamisha vitu kutoka kwenye simu kwenda kwenye pc ni shughuli pevu.

6. Apps kibao zipo android kuliko iphone

7. Unaweza ku root android ukabadili hata os na kuipiga sarakasi simu kadri utakavyopenda , Kwa iphone kuna zoezi la jail break, hapa utaweza tu kufanya baadhi ya vitu ambavyo android vinawezekana tayari hata bila kufanya rooting kama kubadili mwandiko, kuseti ringtone iwe muziki anaotaka, n.k Jail break ni kama mtu aliyefungwa kitambaa machoni kutolewa kitambaa ili aone, rooting ya android ni kama kupewa darubini

8. Hutaweza kusikiliza radio bila bando, kama upo vijijini sehem isiyo na internet fanya utaratibu wa kununua radio.

9. Android utaweza kuback up vitu vyako kwenye memory card na pia unaweza kubadili battery kwa wepesi bila hata kwenda kwa fundi, lwa iphone hizi feautures sahau.

10. Kwenye i phone ku customize vitu kuna vikwazo, mfano ringtone utachagua tu wanazotaka wao iphone na inakuwa sekunde 30 tu, huku android ringtone uutaweka hata ya kingwendu ni wewe

11. kitaa cha notification hakipo kwenye iphone, mfani message ikiingia kama simu ipo silent huku android kataa kanawaka.

12. hutaweza kuseti default app, utaweza kudownload app mbadala ya kufungua mafaili lakini hutaweza kuiseti iwe ya moja kwa moja, kika ukifungua faili litafunguliwa na app ya mwanzoni

13. andoid kuna feauture ya multiple user account, simu inakuwa kama facebook, kila moja ana user name yake na password, naweza kumuazima mtu simu akaitumia bila kujua taarifa zangu na akiniruduishia basi na login kwenye user yangu.

14. Battery kwa iphone ni tatizo, wenzangu wenye i phones wanajiteteaga i phone sio simu ya kutumia tumia kila muda basi naishia kucheka tu napoona wanatembea na power benki simu zao zinapokata moto.

15. Kwenye android unaweza kutumia simu kama remote kwa vifaa kama samsung, lg ,n.k....huko kwa apple so rahisi labda kwa tv zao za apple tv

Kihusu download nyimbo ipo hivi, nyimbo utakazonunua tu ndo znaweza kuplay ktk media player ya apple(apple music) tu, lakin hii haikunyimi uhuru wa kutodownload nyimbo ambazo si za kulipia, media player zpo nyingi mfano VLC inakaa ktk iphone na inapiga kazi fresh tu video, audios, movie vyote unawez kuangalia kutumia media player hiyo.

Kuhusu kudownload nyimbo unaweza kudownload nyimbo utakavyo, cha kufanya ingia app store pakua app inaitwa DOCUMENTS (Hii app inakuwezesha kidownload movie, audios, videos, documents, pdf, photos n.k)

RUDI UNUNUE IPHONE UENDELEE KUICHUNGUZA

NOTE:
Huwezi kuifurahia Iphone kama sio mtundu wa simu itakutesa tu NYIMBO ZA BABALEVO HIGH & LOW IMEDOWNLOADIWA HIYO, HIZO ZINGINE NI APP
IMG_1385.jpg

IMG_1384.jpg

IMG_1383.jpg
 
Kihusu download nyimbo ipo hivi, nyimbo utakazonunua tu ndo znaweza kuplay ktk media player ya apple(apple music) tu, lakin hii haikunyimi uhuru wa kutodownload nyimbo ambazo si za kulipia, media player zpo nyingi mfano VLC inakaa ktk iphone na inapiga kazi fresh tu video, audios, movie vyote unawez kuangalia kutumia media player hiyo.

Kuhusu kudownload nyimbo unaweza kudownload nyimbo utakavyo, cha kufanya ingia app store pakua app inaitwa DOCUMENTS (Hii app inakuwezesha kidownload movie, audios, videos, documents, pdf, photos n.k)

RUDI UNUNUE IPHONE UENDELEE KUICHUNGUZA

NOTE:
Huwezi kuifurahia Iphone kama sio mtundu wa simu itakutesa tu NYIMBO ZA BABALEVO HIGH & LOW IMEDOWNLOADIWA HIYO, HIZO ZINGINE NI APPView attachment 1532638
View attachment 1532639
View attachment 1532640
Hiyo Pisi ukinunua iphone napewa bure mkuu????
 
Hizi ndio mada zetu sisi masikini.
Sijui techno ,sijui iphone so what?
Samsung , huawei ,,
Hebu pigeni kazi mpate hela msaidie jamii, siyo visimu simu tuu huku mmepigika kimaisha.
Kwani ukimiliki hicho kisimu unachangia kiasi gani zaidi katika kuiendeleza jamii ukitofautisha na ungemiliki simu nyingine?

Huu ushamba unaturudisha nyuma bila kujijua.
Mbunge msukuma anatumia kasim ka tochi na huku akiwa na uwezo wa kuwaajiri waabudu visimu wa humu jf walio wengi tu.

KUABUDU SIMU NI UTOTO NA NI USHAMBA.
 
Kweeendraaaa tupisheee.
 
kwaheshima na taadhima umekosea njia mkuu, kulikuwa hakuna hata haj aya kufungua huu uzi kama haukuhusu, kuna majukwaa mengi sana humu katafute ambalo kwako linakutunzia muda

umoja ni nguvu

makampuni yanavyotumia android hapo nguvu zinaungana na wateja tunafaidika sana.

moja akianza kutulimit sehemu flani wateja tunahamia kwengine.

Huko iphone hakunaga hii, apple akiamua hakuna kitu flani ndio imetoka hio.
Hakuna cha umoja ni nguvu.

Hapo ndo mwisho wao wa 'innovation'.

Kipi kipya wataweka ambacho kitaishangaza dunia?

Sahivi kuna kitu kinaitwa 'industry standards' mfano, processor, ram, screen size and refresh rate, n.k.

Ukinunua flagships za Android, specs zinafanana almost zote. Wanachoweza kuongeza ni 'skins' kwenye Android.

Lakini apple anaweza akakuletea kitu chake pekee.
 
kiasi imetusaidia sana sisi team google.

uwanja unakuwa mpana wa matumizi. hata aple huko mbeleni anaweza aut source os yake kwa makampuni mengine ili kubairi radha kidogo na kuongeza ushindani.
Ni ngumu apple kufanya hivyo.

OS inaendana na components. Ni rahisi kwa kampuni kuadjust OS yake kama components wanatengeneza wao.

Sahivi Apple ana Chip zake, sahivi wapo na A14 bionic i guess. Kukupa iOS manake akupe na chip set zake, akupe almost kila kitu.
 
Back
Top Bottom