IPhone (Apple)

5c nishamiliki
Halafu ishu sio hyo ukiichek iyo SE ni kama 5 tu
Ishu ni kuwa iPhone zinafanana Sana halafu hamna kitu revolutionary wamefanya kama walivofanya Kwenye iPhone first generation...walichobakiza tu ni kukopi saivi Samsung,oppo,n.k

SE inafanana umbo na 5 ila specifications ni tofauti mkuu kama ram kwene SE ni 2GB kamera ni 12.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo SE unaijua? ulishawahi kuona hata baadhi ya maduka wanauza hata? Na iPhone za line mbili?
Yaani kabisa unaamini SE haipo Tanzania? Serious?! Halafu Mdau kakueleza utaje latest version, how come unataja simu iliyotoka almost 3 years ago?! We all know, linapokuja suala la smartphones, hata simu iliyotoka mwaka mmoja uliopita haiwezi kuitwa latest version, seuze iliyotoka 3+ years ago!!!
 
latest version kwani ww hujui mzee hukuelewa alichouliza na mm pia majibu yangu ulisoma lakini? Alichouliza nikuwa jamaa hawana plan endelevu muundo niuleule hakuna kipya ndicho alichouliza.
 
Kaka watu wapo kwenye utafiti na majaribio ya 5G baada ya 4G kuzindukiwa miaka 3 iliopita wewe unatuambia iphone ya kwanza 1ST Gen ikua na 8G hii chai haijashika sukari

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ram sio 2GB ni 3GB

Sent using Jamii Forums mobile app

IMG_7620.JPG
Mkuu wewe utakuwa unaongelea simu nyingine sio 5SE yan sijui hiyo yenye 3GB ram imetengenezwa na kampuni ya apple ya wapi ? Unajua au umesimuliwa stori za vijiwen ? NIMESHANGAA MKUU, ebu nielekeze hiyo simu ni REFUBRISHED AU ? Ebu elezea

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
latest version kwani ww hujui mzee hukuelewa alichouliza na mm pia majibu yangu ulisoma lakini? Alichouliza nikuwa jamaa hawana plan endelevu muundo niuleule hakuna kipya ndicho alichouliza.
Alisema hawana uendelevu, wewe ukasema kuna iPhone Version ambazo hata Bongo hazijagusa, nae akakueleza:-
Nitajie latest hapa usinitajie za 2003
Kwahiyo yeye emetaka latest version, na ndio maana nami nikakuambia, kwa kasi ya smartphone, simu za 2016 haziwezi kuwa kwenye kundi la latest smartphones! Kwahiyo nami ningependa kukazia hoja ya mwana hapo juu, weka hizo latest version hapa ambazo Bongo hazipo, na sio za mwaka 2016!! Na isitoshe, hata hizo SE ulizosema, Bongo zipo!!
 
Bongo hakuna latest version zipo zote kwa sasa lakini dual sim ndio hazipo kama zipo ni chache sana maduka mengi hakuna kabisa au ww ulishaziona ngapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom