Pole sana bwana Phares Elisha
Hahahaha bahati yake mwendazake hayupo
Mbona una jina zuri tu,kwanini ujiite echolima?Toka wiki iliyopita simu inaniletea Manyanga haya je kuna yeyote anaweza nisaidia kutatua?View attachment 1742552
Angekuwa ametupa pa kuanzia
Hahahaha tungempata uzuri sana!! Labda Kama hakumsema vibaya mwendazake humu
Nimepitia Nyuzi zake za nyuma anafaa kabisa kuwa Wanted
Hahahahaha jamaa hajagundua badoView attachment 1743398
Huyu hapa
MATAGA mna matatizo sana nyie!!!