Iphone 7 inasumbua kufungua Apps baada ya kuiflash

Sam pizzo

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
846
515
Wakuu kuna jamaa yangu Iphone 7 yake ameiflash sababu alikua amesahau apple ID after flashing imeanza kumsumbua akienda kwenye baadhi ya apps mfano WhatsApp,sms akitaka kutype kitu ina restart yenyewe.

Je, shida ni nini? Na ni jinsi gani ya kutatua?
 
Wakuu kuna jamaa yangu Iphone 7 yake ameiflash sababu alikua amesahau apple ID after flashing imeanza kumsumbua akienda kwenye baadhi ya apps mfano WhatsApp,sms akitaka kutype kitu ina restart yenyewe ...Je shida n nn? Na ni jinsi gani ya kutatua

Nadhan itakua imepoteza baadhi ya vitu
Anyway ngoja wengine waje
@Chief-Mkwawa
 
Wakuu kuna jamaa yangu Iphone 7 yake ameiflash sababu alikua amesahau apple ID after flashing imeanza kumsumbua akienda kwenye baadhi ya apps mfano WhatsApp,sms akitaka kutype kitu ina restart yenyewe.

Je, shida ni nini? Na ni jinsi gani ya kutatua?
Kama alikuwa amesahau apple ID baaya ya kuflash ingedai ID, kama alikuwa amesahau pass codes baada ya kuflash ingekaa sawa.
Cha kufanya aflash kwa kutumia itunes ikizingua atakuwa kabadilishiwa Motherboard.
 
Mkuu firmware ni nin
Firmware ni software ambayo ina operate hardware.

Mfano unawasha tochi kwenye simu kupitia app, Ile app ina wasiliana na firmware na firmware ndio inaiambia simu iwashe tochi.

Kwa case Ya iPhone hapa, firmware inatoka kwa Apple mwenyewe, ambayo anaweka kwenye iPhone ili wewe uweze kutumia apps zako pendwa.
 
Back
Top Bottom