Naombeni ushauri wenu, nahitaji nunua iphone 6s+

Raphael gadau

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
1,005
303
naombeni ushauri wenu nahitaji nunua iphone 6s+ iphone sjawahi tumia inasemeka ni simu nzuri sana ukiitumia na ukishaizoea huwezi tamani kutumia androd tena.

Mimi nilikuwa naomba mwongozo au maelekezo ukishainunua cha kwanza cha mhimu unatakiwa uifanyie kitu gani nikimaanisha mambo ya settingg maana simu hizi zpo kiprofeshino ukikosea tu inajiloki msaada kwa anaye zijua hizi smu zinahitaji umakini wa hali ya juu sana
 
Kama umezoea kutumia Android phones mwanzo itakupa wakati mgumu sana, mpaka pale utakapoamua kuachana na vitabia vya simu za Android au utakapoanza kujua baadhi ya tweaks za kuifanya ilingane na matumizi yako awali, kama ulishazoea kurushiana nyimbo kupitia Bluetooth kwenye iPhone hayo masuala hayapo, kuweka miziki ni mpaka uwe na Software ya iTunes, kama ukizoea kutumia third-party app kuwa mbadala wa system app, huko kwenye iPhone nyingi zipo restricted kwa ajili ya security, kwa ufupi kama ulizoea mambo yako ya ajabu ajabu kwenye Android basi huko kwenye iPhone utayakosa mpaka baadae sana utakaonza kuijua vizuri eco-system ya iOS na tweaks zake kama jailbreak na nyinginezo
 
ntaigunduaje iphone fake wakati wa kununua
 
iPhone fake utaigundua kwa operating system yake tu, iPhone fake zote zina custom OS ya Android, wakati original iPhone zina OS ya iOS unless uwe hujui utofauti kati ya Android OS na iOS OS hapo sasa ndo unatakiwa kuwa na mtaalamu ambaye anaweza kutofautisha kati ya kifaa cha Android na iOS
 
Aisee, kweli watu tunatofautiana, mi wa Android nina memory card slot, fast charging (60% in 30 minutes), QHD screen, longer battery life, better camera na bado nihame? Hapana asee
 
Kama umezoea kutumia Android phones mwanzo itakupa wakati mgumu sana, mpaka pale utakapoamua kuachana na vitabia vya simu za Android au utakapoanza kujua baadhi ya tweaks za kuifanya ilingane na matumizi yako awali, kama ulishazoea kurushiana nyimbo kupitia Bluetooth kwenye iPhone hayo masuala hayapo, kuweka miziki ni mpaka uwe na Software ya iTunes, kama ukizoea kutumia third-party app kuwa mbadala wa system app, huko kwenye iPhone nyingi zipo restricted kwa ajili ya security, kwa ufupi kama ulizoea mambo yako ya ajabu ajabu kwenye Android basi huko kwenye iPhone utayakosa mpaka baadae sana utakaonza kuijua vizuri eco-system ya iOS na tweaks zake kama jailbreak na nyinginezo
hahahaa eti mambo ya ajabu ajabu
 
hahahaa eti mambo ya ajabu ajabu
Mi nayaita mambo ya ajabu, maana ukishafungua tu play store unakutana na mambo mengi sana ya ajabu, mara vilauncher, mara vifont vya kubadilisha maandishi , sijui viapp vya ajabu ajabu halafu havina maana yoyote ni planks tupu yaani utakuta crack my screen, mara scan your finger, mara ants on screen. Kwenye eco system app ya app store huwezi kukuta ujinga huo
 
hahhahaahaa
 
Huna haja ya kushangaa maana android ndo home of customisation,hivyo kukuta launcher,fonts etc ndio mahala pake...usitake Os zote zifanane...

As long as choice ni yako kuweka hayo ma finger scanner sijui launcher...
 
Nilikuwa nampa tahadhari tu kuwa huo ujinga wa customization iOS haupo maana naye iOS ana ujinga wake tofauti wa kuuzoea
 
Iphone imenishida kwny line? Yan simu inatumia line moja so itanibidi ninunue simu nyingine na kuwa na simu mbili,nashindwa kuweka mfukoni simu mbili,changuo langu lipo kwa S7 samsung coz ni duos na inaspecification kubwa kuzidi iphone
 
Aisee, kweli watu tunatofautiana, mi wa Android nina memory card slot, fast charging (60% in 30 minutes), QHD screen, longer battery life, better camera na bado nihame? Hapana asee
Mkuu labda naweza kukubaliana kwenye suala la fast charging tu tena ni kwa simu za high end na mid-range chache zenye hiyo capability, anyway let us take it as it's, suala la memory card kwangu sio hoja maana kuna choice ya iPhone yenye 128GB, 256GB, sasa ukiwa na simu moja kati hizo memory card ya nini!?, pia hasa sisi wabongo tumekuwa na tabia ya kujinunulia tu memory card bila kujali uwezo wa memory card kwenye data ready and write sequential mwisho wa siku unakuta unaathiri performance ya simu bila kujua, kuhusu suala la QHD display ni hujajua kuwa ukubwa wa pixels kwenye simu ni directly proportional na matumizi ya battery, yaani matumizi ya kioo cha QHD na HD kwenye simu zenye display size moja na ukubwa wa battery unaolingana ni tofauti kabisa ingawa processor ina mchango mkubwa pia kwenye matumizi ya battery ndo maana ukichukua iphone ambazo huwa hazizidi 2000mAh na ukichukua Android phone zenye 3000mAh utaona ukaaji wa battery hauna tofauti, simu ikiwa na HD Au FHD display inatosha kabisa hasa kwa hizi simu zenye 4.7', 5' 5.5', QHD zinatakiwa kuelekezwa kwenye TV
Pia ukaaji wa battery unategemea na eco system ya OS. Mfano mzuri nimekupa hapo juu, na ukaaji wa battery unachangiwa na factors nyingi na si kila simu ya android inakaa na battery kwa mda mrefu
Kuhusu camera usitake kuaminisha watu kuwa kila Android phone ina camera nzuri kuliko iphone, mtu anayemtoa jasho Apple kwenye suala la camera ni Samsung akifuatia na LG, kidogo juzi Google kaja kutoa upinzani na simu yake pixel. Lakini bado Apple anatengeneza simu zenye camera nzuri tu tena zenye ushindani wa hali ya juu
 
Iphone anashindwa kwa samsung kumbe kwa kamera tu au na vingine
 
Kwenye suala la camera performance Samsung kumuacha Apple ingawa sio kwa distance kubwa, lakini haimaanishi Apple wana the worst camera, hapana, simu za Apple bado zina camera nzuri sana
Kwenye performance ya simu kwa ujumla simu za Apple zinafanya vizuri kuliko za Samsung
 
Back
Top Bottom