Uza haraka mkuu 2020 hii simu haipati upgrade ya Ios 14
Hio 6S Plus si ilitoka mwaka mmoja na hio 6S? Tofauti ni size ya screen tu nayo ni hivyo hivyo yaemda kufa kibuduna 6s plus
Hio 6S Plus si ilitoka mwaka mmoja na hio 6S? Tofauti ni size ya screen tu nayo ni hivyo hivyo yaemda kufa kibudu
Ndomana hzo cm naona asaiv watu wanaziuza kwa speed ya mwendokasi,alaah kumbe!Uza haraka mkuu 2020 hii simu haipati upgrade ya Ios 14
Hio bado bado italuwepo sanaNa 7 plus je?