iPhone 6 plain VS Samsung S6 plain

Kibo Jr

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
517
275
Wajuvi wa mambo naombeni msaada hapo utofaut wa hizi simu mbili kwa kila kitu.. na ipi ni bora zaidi kutumia

Ahsanten..
images.jpeg
 
1) Tofauti moja ni samsung plain na nyingine ni i
phone plain

2) moja ni android device nyingne ni IOS device

3)moja ni simu ya kuitumia nyingne ni simu ya kukutumia

Ngoja Waje kuongezea
 
Nimetumia Samsung galaxy s6 kwa miaka mingi, na kiukweli nakushauri uchukue iPhone 6, na sababu kubwa ni iOS 13. Galaxy s6 ni nzuri (especially screen yake) lakini haina update yoyote ipo kwenye Android 7, pia battery life yake ni mbaya; sasa kama hiyo ni used unaweza kiutupa because utakuwa kwenye charger muda mwingi sana. Mawazo yangu tu.
 
Umebugi hapo mzee iphone 6 haisupport ios 13 latest kwake ni ios 12.4.2.na kingine mwe ye samsung s6 anawigo mpaka sababu ni android anaweza hata kupata custom os ya 8 au 9 iloiyostable na akaienjoy matumizi yake.
 
Ohh kweli mwisho ni iOS 12, 6S ndio iOS 13 (mtoa mada bora uchukue hii AliExpress zinauzwa 360k). Hayo maswala ya custom roms nitawaachia nyie nilistaafu hayo mambo miaka 4 iliyopita.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom