Weka picha mkuu
Ofcoz itakua imetumika mda, bt kitu bado ukikiona kiko freshhhhh!!Nenda ktk kioo hlf piga picha..imetumika muda gani?
Kaka cjui nieke vp picha mana natumia simu
Haya jamani nna iphone 3gs 32Gb, ios 5.0.1, iko katika good condition.... Nahitaji kilo 3 (laki 3)
By chilubi
Haya jamani nna iphone 3gs 32Gb, ios 5.0.1, iko katika good condition.... Nahitaji kilo 3 (laki 3)
Nna laki mbili. Kama inalipa nipm