Iphone 3GS for Sale

Mnandi

Senior Member
Aug 30, 2011
156
25
nauza iphone 3gs 16gb kwa 400,000/=, used for 1 year haina tatizo na bado ipo katika condition nzuri sana,,inatumia ios 4.3.3 jailbroken and unlocked, with 80 pre-installed Apple Applications, Arusha.

37652908.jpg

abcvl.png
55491527.jpg

kwa kuwa ni 'used' nipigie 0755923565 nikupe 200,000 cash.

i give you 200,000/= cash
kwa kuwa ni 'used' nipigie 0755923565 nikupe 200,000 cash.

nyie mnafanya utani ninyi',,na hizo laki mbili zenu mtapata housing ya simu tu, hata cable yake hampati!! Iphone 3GS ina 600MHz za CPU, 256RAM na inatumia IOS moja na Iphone 4 zimepishana specs kidogo sana',,imetumika lakini ukiiangalia vibaya unawezasema mpya',, kwa Arusha Iphone 3GS mpya ni 930,000/=,,hiyo 400,000 nauza hivyo nitafute iphone 4'....

when u go Mac' u never turn back'..

Mkuu kitu used unataka uuze kama kipya?

Wajapa wangekuwa wanafanya hivyo watu wachache wangekuwa wanamiliki mikoko

iphone 3gs mtaani 150,000/=!! dah', kweli wabongo tumeendelea kama ni hivyo', tukumbuke tu kuwa ilianza iphone 2G, ikafuata 3G, ikaja 3GS na sasa 4,,,hizo zingine bei yake itakuaje sasa kama 3gs ni kilo 2',,mkuu kuliko kutangaza humu ungetafuta njia ingine tu, mimi natumia iphone ndo maana nazielewa, hawa wengine wanadhani Iphone ni kama kina BlackBerry zinazouzwa bei ya nyanya' lol' no offence,,,:peace:

Tatizo watu wasio waelewa hawajui kuwa iphone 4 na 3gs tofauti kubwa ipo kwenye hardware ila OS ni moja.
kuuza iphone 3gs mtaani ni ngumu ila 2G na 3G ni rahisi sana

Jamani kuwa used sio maanake haifai ,bali kuna mawili inaweza kuwa used sababu yeye ndio kaitoa kwenye boksi na kaitumia sasa kwa kuwa mtu kinfaacho ni chake kaamua kuuza na bado ni kiko katika uhalisia wa upya,lakini pia kuna used ingine inakuwa sawa na takataka yaani hata huyo mtengenezaji kesha sahau kama kuna hiyo model sasa hicho ndio mtu unaweza kusema aha hiyo kaka si ni ya kutupa tu,inaweza kuwa used lakini ikawa ni bomba zaidi kuliko hata hiyo iliyo kwenye boksi

nyie mnafanya utani ninyi',,na hizo laki mbili zenu mtapata housing ya simu tu, hata cable yake hampati!! Iphone 3GS ina 600MHz za CPU, 256RAM na inatumia IOS moja na Iphone 4 zimepishana specs kidogo sana',,imetumika lakini ukiiangalia vibaya unawezasema mpya',, kwa Arusha Iphone 3GS mpya ni 930,000/=,,hiyo 400,000 nauza hivyo nitafute iphone 4'....

when u go Mac' u never turn back'..

Napenda idevices and i own one,lakini hzo specs sio za kubrag nazo public!! 600Mhz?hehe utachekwa evn E72 has the same processor n ram! Na kwa laki 4 bdo ni ghal!! Sema hata 350 au 300! Ts SO OUTDATED already....

Back
Top Bottom