i give you 200,000/= cash
kwa kuwa ni 'used' nipigie 0755923565 nikupe 200,000 cash.
nyie mnafanya utani ninyi',,na hizo laki mbili zenu mtapata housing ya simu tu, hata cable yake hampati!! Iphone 3GS ina 600MHz za CPU, 256RAM na inatumia IOS moja na Iphone 4 zimepishana specs kidogo sana',,imetumika lakini ukiiangalia vibaya unawezasema mpya',, kwa Arusha Iphone 3GS mpya ni 930,000/=,,hiyo 400,000 nauza hivyo nitafute iphone 4'....
when u go Mac' u never turn back'..
Tatizo watu wasio waelewa hawajui kuwa iphone 4 na 3gs tofauti kubwa ipo kwenye hardware ila OS ni moja.iphone 3gs mtaani 150,000/=!! dah', kweli wabongo tumeendelea kama ni hivyo', tukumbuke tu kuwa ilianza iphone 2G, ikafuata 3G, ikaja 3GS na sasa 4,,,hizo zingine bei yake itakuaje sasa kama 3gs ni kilo 2',,mkuu kuliko kutangaza humu ungetafuta njia ingine tu, mimi natumia iphone ndo maana nazielewa, hawa wengine wanadhani Iphone ni kama kina BlackBerry zinazouzwa bei ya nyanya' lol' no offence,,,eace:
unayoyasema ni kweli mkuu,Tatizo watu wasio waelewa hawajui kuwa iphone 4 na 3gs tofauti kubwa ipo kwenye hardware ila OS ni moja.
kuuza iphone 3gs mtaani ni ngumu ila 2G na 3G ni rahisi sana