iPhone 13 imeshaingia, 11 si habari ya mjini tena

Nasikia nchi za nje unaweza rudisha toleo lililopita dukani ukaongeza pesa kidogo na kuchukua toleo jipya.

Halafu uliyorudisha ndiyo inauzwa kama refurb huku Tz.

Ni kweli?
Toleo jipya likitoka unayo option ya kuchukua mpya cash ukawa na contract ya air time au bundle. Mfano hii wamesema bei kwa cash ni £949. Unaweza pia ukinunua kwa contract ha hao wamesema contract ni £39 kwa mwezi kwa miezi 24. Baada ya hapo inakua ya kwako.
 
Nasikia nchi za nje unaweza rudisha toleo lililopita dukani ukaongeza pesa kidogo na kuchukua toleo jipya.

Halafu uliyorudisha ndiyo inauzwa kama refurb huku Tz.

Ni kweli?

Haiuzwi kama refurb ila inauzwa kama used phone, refurb ni sim ambayo imeunganishwa kutoka sim tofaut ya aina hiyo hiyo na kuundwa upya,kwamba camera imechukuliwa hapa,screen kule,battery kule,alafu inaundwa kitu piru
 
Nasikia nchi za nje unaweza rudisha toleo lililopita dukani ukaongeza pesa kidogo na kuchukua toleo jipya.

Halafu uliyorudisha ndiyo inauzwa kama refurb huku Tz.

Ni kweli?
Ni kweli ila most of time unalaliwa tu. Huongezi kidogo unaongeza sana. Ndio maana refurb bei rahisi.

Na hizo refurb zinakuwa classified makundi mbalimbali zile nzuri nzuri zinauzwa huko huko Ulaya na Marekani sisi tunaletewa vimeo aka wafanyabiashara wetu wanachagua za bei rahisi zaidi.
 
Duh wazee wa contract
Nilikua na 7 pro nikajua contract ikiisha ninaanza kununua air time tu, contract inakwisha na simu inakufa. Waliniambia hawawezi kuitengeneza iwani sina contract tena. Ilibidi nichukue simu mpya.
 
Nilikua na 7 pro nikajua contract ikiisha ninaanza kununua air time tu, contract inakwisha na simu inakufa. Waliniambia hawawezi kuitengeneza iwani sina contract tena. Ilibidi nichukue simu mpya.

Hivi wenzangu mnawezaje kukaa na toleo muda hivyo? Mi kila mwaka nabadili
 
Hivi wenzangu mnawezaje kukaa na toleo muda hivyo? Mi kila mwaka nabadili
Nitabadilisha nipate iPhone 13 pro contract ikiisha na ni kwasababu ya storage tu. Kabla ya iPhone 7 pro iPhone 5 nilikaa nayo muda mrefu sana. Niliibiwa na mpangaji wangu.
 
Duniani matabaka, niko 7 najichanga kwenda X/Xs

Kwa mwendo huu may be i can get 13 after three to four yrs
 
kama unachukua kila toleo likitoka,ni ngumu sana hata kuona tofauti ya hizi simu.

fikiria mwenye 12pro max,anasubiri 13promax.ili agundue nini sijui??

and most of them ni watu wasio na muda wa kuzitumia,muda mwingi wako kazini.
 
Umaskini ni kitu kibaya sana. Yaani watu wanazua Mjadala kwa Gadget ya $900 na ushee. ,,🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom