iPhone 11... kuvunja rekodi?

wenzie wameishaondoa notch,wako ultrasonic scanner,kioo angavu zaidi 4k nk.
angalia kitu atafanya 2020
atatoa kioo cha full hd,ataondoa notch kamaliza kisha anawekea kondoo wake wale.
Kwakweli mnanichekesha sana wakuu
 
5G bado sasa.

Hata carriers hawajaanza ku roll out hiyo network.

Labda tuongelee kuanzia 2021-2022. Hapo ndo itakuwa fair kuanza kununua 5G phones.

Huku africa tuanze kuongelea kuanzia 2023.

kweli kabisa unanunuaje leo technology ambayo huwez kuitumia mpaka miaka mitatu ijayo ? 5g ya nini leo ?
 
Mi nalia na design aisee... very poor!!
Ukisechi iphon 11 picha zinazokuja nyingi ni simu iliyogeuzwa nyuma il watu waone mjengo wa kamera aisee nadhani hicho ndicho cha kujivunia kwenye toleo hili
 
Yeah.... nimeona price yake ni bei ya Passo
Ukisechi iphon 11 picha zinazokuja nyingi ni simu iliyogeuzwa nyuma il watu waone mjengo wa kamera aisee nadhani hicho ndicho cha kujivunia kwenye toleo hili
 
Back
Top Bottom