labda zitawakaa sawa baada ya kuchomelewa.Iphone 11 sio kwamba imevunja tu bei bali imevunja hadi akili za watu
Kwakweli mnanichekesha sana wakuuwenzie wameishaondoa notch,wako ultrasonic scanner,kioo angavu zaidi 4k nk.
angalia kitu atafanya 2020
atatoa kioo cha full hd,ataondoa notch kamaliza kisha anawekea kondoo wake wale.
Kwa technology ya ss kutumia norch ni kupitwa na wakat,afadhal angetumia hata water drop norch au infinity display kwa high end device nyingine.Kwakweli mnanichekesha sana wakuu
5G bado sasa.
Hata carriers hawajaanza ku roll out hiyo network.
Labda tuongelee kuanzia 2021-2022. Hapo ndo itakuwa fair kuanza kununua 5G phones.
Huku africa tuanze kuongelea kuanzia 2023.
Ukisechi iphon 11 picha zinazokuja nyingi ni simu iliyogeuzwa nyuma il watu waone mjengo wa kamera aisee nadhani hicho ndicho cha kujivunia kwenye toleo hiliMi nalia na design aisee... very poor!!