iPhone 11... kuvunja rekodi?

Hujui chochote kuhusu apple. Hujawahi fuatilia chochote kuhusu apple.

Sijawahi ona simu ya apple ina flaws. Samsung note 7, ilikuwa na battery explosion, samsung fold inavunjika kioo.

Mnajaziwa specs bila utafiti, madhara yake ndo hayo sasa. Hata durability ni shida.

Bora ukae kimya.
dah yaani we jamaa aisee!!
 
Masikini ndo wanaolalamika kuhusu Apple wakati wateja wao hawana shida na bidhaa wanazonunua.
Maskini hawalalamiki, tatizo ni mashoga kina Tim Cook na wafuasi(mashoga wenzie) kudanganya watu kuwauzia simu zenye teknolojia ya nyuma na hao ma isheep kujiona wana kitu cha maana kumbe mavi.
 
swala la kutunza ram liko kiasili zaidi na si kiufundi.tungekuwa na simu inayotumia OS yake yenyewe kama tizen kwa samsung au window kwa lumia,tungeongea lugha moja.ndio maana kuna mtu huko juu alisema hatuwezi pima ubora wa ios kwa kutumia simu yake tu,ingekuwa inatumiwa na kampuni nyingine za simu,huwenda ingeleta matokeo mabaya kuliko android.

hata hivyo sio swala la kusifu sana maana pc za apple zina ram kubwa sana tu mpaka gb 16.
Ukiona mtu analinganisha ios na android ujue huyo hana akili kabisa. Unakuta taahira anasema ios nyepesi, umeilinganisha kwenye simu gani?

Hata wataalamu wa simu wakifanya ulinganifu wa simu sijawahi kuona wanazungumzia operating system zaidi ya hardware tu.

Sasa utakuta li-isheep linakomaa ios nyepesi na fluid, unajua kabisa hili halijui chochote.
 
hii simu kwenye uimara sitii neno.ni simu ngumu mno.hata ikiharibika kifaa una uhakika kitapona tu.

naweza sema apple wanafanya vitu nusu nusu kwa malengo yao wanayojua wenyewe,sababu yaweza kuwa budget kwenye research.ukitumia pesa nyingi sana kwenye utafiti tegemea faida ndogo sana na haya si malengo ya apple.

Apple wahuni sana ogopa mmarekan ana akili sana, hapo wametoa yakawaida wanasoma wapinzan subirin iphone 12 ndo mtajuaa
 
Wanachonifrahisha ni ubora wao haushuki na bei zao haziporomoki
Tatizo ni wanabana na ukiwa mtu wa mambo mengi zinaboa sana otherwise uko kwenye ecosystem yao

Apple wanazingua kwenye downloads, kushare nk, ila ukizoea utaona kawaida.
 
Maskini hawalalamiki, tatizo ni mashoga kina Tim Cook na wafuasi(mashoga wenzie) kudanganya watu kuwauzia simu zenye teknolojia ya nyuma na hao ma isheep kujiona wana kitu cha maana kumbe mavi.
Kwasababu toka kwenye designing hadi distribution ya simu za android hakuna mashoga.

Samsung waliposupport Pride day https://news.samsung.com/us/samsung-837-hosts-pride-place-five-day-experiential-pop-nyc-pride/

Humu kuna google yenu. https://money.cnn.com/2015/01/12/news/companies/lgbt-brands/index.html
 
Apple wahuni sana ogopa mmarekan ana akili sana, hapo wametoa yakawaida wanasoma wapinzan subirin iphone 12 ndo mtajuaa
wenzie wameishaondoa notch,wako ultrasonic scanner,kioo angavu zaidi 4k nk.

angalia kitu atafanya 2020

atatoa kioo cha full hd,ataondoa notch kamaliza kisha anawekea kondoo wake wale.
 
Zenye ram kubwa ni zile intended kwenye masuala ya multimedia kama studio za mziki au video editing na graphix. Ila chukua mfano wa mac air zinakuwa na ram ndogo 2gb lakini so efficient
swala la kutunza ram liko kiasili zaidi na si kiufundi.tungekuwa na simu inayotumia OS yake yenyewe kama tizen kwa samsung au window kwa lumia,tungeongea lugha moja.ndio maana kuna mtu huko juu alisema hatuwezi pima ubora wa ios kwa kutumia simu yake tu,ingekuwa inatumiwa na kampuni nyingine za simu,huwenda ingeleta matokeo mabaya kuliko android.

hata hivyo sio swala la kusifu sana maana pc za apple zina ram kubwa sana tu mpaka gb 16.
 
Mkuu nilikuwa na mac air ina ram 2gb na nilikuea na pc ya windows ina 4gb mac air nlikuwa nimeiweka windows 7, nikawa kote nimeweka game la call of duty modern welfare, kwenye air lilikuwa linacheza tu smoothly
Hio 2GB browser tu ukifungua tabs kadhaa itaanza kuwa slow sembuse kurun games ama app nyengine.
 
Mkuu nilikuwa na mac air ina ram 2gb na nilikuea na pc ya windows ina 4gb mac air nlikuwa nimeiweka windows 7, nikawa kote nimeweka game la call of duty modern welfare, kwenye air lilikuwa linacheza tu smoothly
games hazirun kwenye ram tu, bila kutaja processor, graphics card etc.

Na PC hazina hivyo eti sijui 2GB ram Ni efficient Hapo Ni kudanganyana tu, Kama GTA V linataka minimum 4GB ram hata uweke os gani litakuwa slow tu ukiwa na ram 2GB.
 
Back
Top Bottom