KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,500
- 2,781
Weka uthibitisho
Nenda youtube, tumia UHD kwenye resolution, af ukae utulie
Weka uthibitisho
Nilitumia Samsung S8+ na iPhone 6s kwa pamoja , kwa upande wa kamera S8+ anasubiri kwa iPhone 6s.
Niliamua kuigawa na kubaki na S8+ yangu, sababu inakidhi mahitaji na uhuru wangu.!
Kadem ako kalikuomba
nawewe usiponde ram 12gb wakati apple anasubiri waje wakuwekee 2023 kisha wakuchape $1100.kama kawaida maana utanunua tu.
swala la kutunza ram liko kiasili zaidi na si kiufundi.tungekuwa na simu inayotumia OS yake yenyewe kama tizen kwa samsung au window kwa lumia,tungeongea lugha moja.ndio maana kuna mtu huko juu alisema hatuwezi pima ubora wa ios kwa kutumia simu yake tu,ingekuwa inatumiwa na kampuni nyingine za simu,huwenda ingeleta matokeo mabaya kuliko android.Nenda youtube afu uringanishe ram management
Iphone japokuwa ina 4gb ila ina tunza ram kuriko sim ya 8gb au ata 10gb
Incase hujui maana ya ram
Ukitoka apo ringanisha pixel 3 yenye 4gb na iphone ambayo ina 4gb uone disaster
hii s8+ ilikuwa na kideriNilitumia Samsung S8+ na iPhone 6s kwa pamoja , kwa upande wa kamera S8+ anasubiri kwa iPhone 6s.
Niliamua kuigawa na kubaki na S8+ yangu, sababu inakidhi mahitaji na uhuru wangu.!
Iphone ni simu ngumu sana na inadumu, huwez compare na sim zingine anyway,
Naandaa bajeti yangu ili nivute iphone 11,
Hapana mkuu ni mpenzi wa Samsung toka s4 sijawahi kuruka toleo mapaka sasa nipo na S8+ hii.hii s8+ ilikuwa na kideri
Nyingi ni us version zisizo support 4g mkuu
hii simu kwenye uimara sitii neno.ni simu ngumu mno.hata ikiharibika kifaa una uhakika kitapona tu.Iphone ni simu ngumu sana na inadumu, huwez compare na sim zingine anyway,
Naandaa bajeti yangu ili nivute iphone 11,
We 4g ya nini maana haya maiphone yana nguvu balaa kwenye internet
We 4g ya nini maana haya maiphone yana nguvu balaa kwenye internet
Dah mkuu umetutea wengi sanaUzuri zile huduma za muhumu wote tunazipata kwa uhakika
Hujui chochote kuhusu apple. Hujawahi fuatilia chochote kuhusu apple.hii simu kwenye uimara sitii neno.ni simu ngumu mno.hata ikiharibika kifaa una uhakika kitapona tu.
naweza sema apple wanafanya vitu nusu nusu kwa malengo yao wanayojua wenyewe,sababu yaweza kuwa budget kwenye research.ukitumia pesa nyingi sana kwenye utafiti tegemea faida ndogo sana na haya si malengo ya apple.
Apple Hana flaw?Hujui chochote kuhusu apple. Hujawahi fuatilia chochote kuhusu apple.
Sijawahi ona simu ya apple ina flaws. Samsung note 7, ilikuwa na battery explosion, samsung fold inavunjika kioo.
Mnajaziwa specs bila utafiti, madhara yake ndo hayo sasa. Hata durability ni shida.
Bora ukae kimya.
Asante mkuu umeniwahi...I was going to say this...tatzo Uumini unazidi sana na kuua uhalisia hamna kizuri kisicho na kasoro!Apple Hana flaw?
1.bend gate
iPhone 6 zinazojikunja zenyewe,
2. Antenna Gate iPhone 4 zilizokuwa hazishuki network
3.touch deseases: Flickering grey bar of doom, iPhone 6 na 6 plus ambazo zilikuwa zinakufa bar ya juu
4.Apple maps ambazo zilikuwa zikipoteza watu zikapigwa marufuku nchi kibao
5.purple haze iPhone 5 pic
6. Yellow gate vioo vilibadilika kuwa njano
7.kutoa updates zinapunguza nguvu ya processor kwa simu za zamani (wamekiri wenyewe)
8.macbook zilizokuwa zinalipuka na kusababisha Apple kuzirudisha
Blunders za Apple Ni nyingi tu mkuu na wao Wala sio saints kwamba hawakosei.