iPhone 11... kuvunja rekodi?

Picture quality pixel na iphone ipi ni bora kuliko samsung ipi?

The latest represent the greatest
Pixel 2 na 3 both are gud than iphone x and xs au samsung zote kasoro note 10 ya juzi ambayo inakimbizana na pixel 3
Iphones are kings in video na hapo hakamatwi
Huawei latest inakimbizana na samsung latest, sio best ila ipoipo,
Huawei kizr ni kamera tu na build quality ila UI yao ni mbaya na nzito, ndo maana wanachojisifia ni kamera tu, pixel ni nzr kwa kuwa na stock android ila build quality yao ya ovyo pia, na samsung ndo ana atleast ya consistence kwenye kote japo ni best kwenye display tu, oneplus inachukuliwa kama perfect phone though camera zao sio best na ni ya kawaida sana kwa kamera
Kama hujanielewa sahv huto nielewa milele
Huawei wengi mnaisifia maana kwake ni kamera tu ndo ya kuisifia japo EMIUI ni nzito na si tam kabisa
 
Pixel 3 inaizidi camera Samsung S10 plus?

Labda unamaanisha Tecno hatengenezi high end smartphone,

Flagship ni simu nzuri ambayo mtengeneza simu anaweka uwezo wake wote kitechnolology kwenye hio simu. Mfano kwa Tecno Ni phantom series. Kila kampuni ya simu Ina flagship.
Eti phantom ni flagship???... Be serious mkuu
 
Sema zooming na Low light... maana hakuna takatataka yoyote duniani inayomfikia huawei kwenye low light images. Siyo samsung wala iphone...
We jamaa hujui cm na hujui unachokisema
Huawei kweli ni among the best camera phones ila sio best, ni best katika zooming japo ina very decent photos
Na huawei 48mp sensor yake ni jina na mostly normal scenarios inachukua 12mp katika hyo 48 mp
Huwez weka 48 mp ikatumika kutoa picha nzr saana ilio acurate kutokana na incompatible censor,

Ata sony au nekon zenyewe hazipendelei kutumia high mp

Hyo 48 mgp mostly zinatumika kwenye zooming
 
Achana pixel 3 na 2... Kuna pixel 3a...Hiyo midrange smartphone kuna areas kwenye camera hata s10+ anasubiri
The latest represent the greatest
Pixel 2 na 3 both are gud than iphone x and xs au samsung zote kasoro note 10 ya juzi ambayo inakimbizana na pixel 3
Iphones are kings in video na hapo hakamatwi
Huawei latest inakimbizana na samsung latest, sio best ila ipoipo,
Huawei kizr ni kamera tu na build quality ila UI yao ni mbaya na nzito, ndo maana wanachojisifia ni kamera tu, pixel ni nzr kwa kuwa na stock android ila build quality yao ya ovyo pia, na samsung ndo ana atleast ya consistence kwenye kote japo ni best kwenye display tu, oneplus inachukuliwa kama perfect phone though camera zao sio best na ni ya kawaida sana kwa kamera
Kama hujanielewa sahv huto nielewa milele
Huawei wengi mnaisifia maana kwake ni kamera tu ndo ya kuisifia japo EMIUI ni nzito na si tam kabisa
 
Eti phantom ni flagship???... Be serious mkuu
Wewe ndio kuwa serious neno flagship linatokana na meli ambayo captain wa meli zote anakaa, kunapokuwa na meli ama majahazi ama chombo chochote Cha baharini ambacho kiongozi wa hivyo vyombo anakaa hio Ni flagship.

Same kwenye simu flagship phone ni ile simu nzuri zaidi kwa kipindi Fulani ambayo manufacture ametoa haijalishi hio simu Ina specs gani.

Mfano Galaxy a90 ya Samsung ni nzuri specs wise Kushinda Nokia 9 pureview lakini Nokia 9 Ni flagship na Galaxy A90 sio flagship.

Mfano mwengine angalia simu za Realme flagship Yao inaitwa Realme XT, inatumia sd 712 hio Ni mid-range SOC lakini sababu kwao ndio simu nzuri zaidi Basi hio Ni flagship.

Hivyo hivyo kwa Tecno phantom kwao ndio flagship maana ndio simu nzuri zaidi kwao.

Wewe umechanganya Kati ya high-end na flagship.
 
masikini hawezi kununua simu bro.au masikini wa kununua iphone!!!
Kama umeridhika na huawei yenye kuzoom x50. Keep that to yourself.

Huwezi kuta mteja wa apple anapaparika na yasiyomuhusu.

Anasubiri zamu yake aingie mfukoni anunue simu yake.

Nyie ndo mnahangaika na kutaka iphone ijaze numbers kama tecno.

Thats it.
 
nawewe usiponde ram 12gb wakati apple anasubiri waje wakuwekee 2023 kisha wakuchape $1100.kama kawaida maana utanunua tu.
 
Nimeshakwambia Apple hawaongelei RAM.

Nioneshe sehemu wameongelea.?

Performancewise, apple is more efficient kuliko simu zenu zenye RAM ya 16GB.
 
Nilitumia Samsung S8+ na iPhone 6s kwa pamoja , kwa upande wa kamera S8+ anasubiri kwa iPhone 6s.

Niliamua kuigawa na kubaki na S8+ yangu, sababu inakidhi mahitaji na uhuru wangu.!
 
Acha uongo aisee!! Binafsi hutumia android na iOS sambamba!! Hapa nina samsung S10 plus na nina iphone Xs Max hayo usemayo si kweli!! Unataka nambia iphone 8 plus kuliko samsung s10?

Nami natumia iphone 6 na note8 naipenda note 8 mana ina line mbili
 
Back
Top Bottom