mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,703
- 37,306
bro unasemaje??Zooming huawei wako vzr, lakin picture quality ni pixel then iphone then samsung na huawei wako pamoja
bro unasemaje??Zooming huawei wako vzr, lakin picture quality ni pixel then iphone then samsung na huawei wako pamoja
nimeshangaaPicture quality pixel na iphone ipi ni bora kuliko samsung ipi?
masikini hawezi kununua simu bro.au masikini wa kununua iphone!!!Masikini ndo wanaolalamika kuhusu Apple wakati wateja wao hawana shida na bidhaa wanazonunua.
Picture quality pixel na iphone ipi ni bora kuliko samsung ipi?
The latest represent the greatest
Pixel 2 na 3 both are gud than iphone x and xs au samsung zote kasoro note 10 ya juzi ambayo inakimbizana na pixel 3
Iphones are kings in video na hapo hakamatwi
Huawei latest inakimbizana na samsung latest, sio best ila ipoipo,
Huawei kizr ni kamera tu na build quality ila UI yao ni mbaya na nzito, ndo maana wanachojisifia ni kamera tu, pixel ni nzr kwa kuwa na stock android ila build quality yao ya ovyo pia, na samsung ndo ana atleast ya consistence kwenye kote japo ni best kwenye display tu, oneplus inachukuliwa kama perfect phone though camera zao sio best na ni ya kawaida sana kwa kamera
Kama hujanielewa sahv huto nielewa milele
Huawei wengi mnaisifia maana kwake ni kamera tu ndo ya kuisifia japo EMIUI ni nzito na si tam kabisa
Haijaenea kama ilivyo baadhi ya nchi UlayaKumbe huko nako 5G haijaanza mpaka 2020?
Eti phantom ni flagship???... Be serious mkuuLabda unamaanisha Tecno hatengenezi high end smartphone,
Flagship ni simu nzuri ambayo mtengeneza simu anaweka uwezo wake wote kitechnolology kwenye hio simu. Mfano kwa Tecno Ni phantom series. Kila kampuni ya simu Ina flagship.
Usilinganishe camera hiyo na takataka ya apple ase
Pixel 3 inaizidi camera Samsung S10 plus?
We jamaa hujui cm na hujui unachokisema
Huawei kweli ni among the best camera phones ila sio best, ni best katika zooming japo ina very decent photos
Na huawei 48mp sensor yake ni jina na mostly normal scenarios inachukua 12mp katika hyo 48 mp
Huwez weka 48 mp ikatumika kutoa picha nzr saana ilio acurate kutokana na incompatible censor,
Ata sony au nekon zenyewe hazipendelei kutumia high mp
Hyo 48 mgp mostly zinatumika kwenye zooming
The latest represent the greatest
Pixel 2 na 3 both are gud than iphone x and xs au samsung zote kasoro note 10 ya juzi ambayo inakimbizana na pixel 3
Iphones are kings in video na hapo hakamatwi
Huawei latest inakimbizana na samsung latest, sio best ila ipoipo,
Huawei kizr ni kamera tu na build quality ila UI yao ni mbaya na nzito, ndo maana wanachojisifia ni kamera tu, pixel ni nzr kwa kuwa na stock android ila build quality yao ya ovyo pia, na samsung ndo ana atleast ya consistence kwenye kote japo ni best kwenye display tu, oneplus inachukuliwa kama perfect phone though camera zao sio best na ni ya kawaida sana kwa kamera
Kama hujanielewa sahv huto nielewa milele
Huawei wengi mnaisifia maana kwake ni kamera tu ndo ya kuisifia japo EMIUI ni nzito na si tam kabisa
Wewe ndio kuwa serious neno flagship linatokana na meli ambayo captain wa meli zote anakaa, kunapokuwa na meli ama majahazi ama chombo chochote Cha baharini ambacho kiongozi wa hivyo vyombo anakaa hio Ni flagship.Eti phantom ni flagship???... Be serious mkuu
Kama umeridhika na huawei yenye kuzoom x50. Keep that to yourself.masikini hawezi kununua simu bro.au masikini wa kununua iphone!!!
nawewe usiponde ram 12gb wakati apple anasubiri waje wakuwekee 2023 kisha wakuchape $1100.kama kawaida maana utanunua tu.Kama umeridhika na huawei yenye kuzoom x50. Keep that to yourself.
Huwezi kuta mteja wa apple anapaparika na yasiyomuhusu.
Anasubiri zamu yake aingie mfukoni anunue simu yake.
Nyie ndo mnahangaika na kutaka iphone ijaze numbers kama tecno.
Thats it.
Nimeshakwambia Apple hawaongelei RAM.nawewe usiponde ram 12gb wakati apple anasubiri waje wakuwekee 2023 kisha wakuchape $1100.kama kawaida maana utanunua tu.
Acha uongo aisee!! Binafsi hutumia android na iOS sambamba!! Hapa nina samsung S10 plus na nina iphone Xs Max hayo usemayo si kweli!! Unataka nambia iphone 8 plus kuliko samsung s10?
Vizia zinazotoka kwa madiba.........