iPhone 11... kuvunja rekodi?

dah mkuu,akinunua iphone 6s kwa mtu nawewe ukinunua dukani??apple wanawatofautishaje katika kusajiri id zenu??kuna kipengere cha kujaza umenunua shingapi??na bank statement?

nyinyi ndio mnanunua iphone ili muonekane mambo safi,ndio maana mnapobisha na ma geek mnajaa upepo mapema sana.
Hapa ndio unaonesha jinsi ulivokuwa huyajui mambo.

Simu unayoinunua mikononi mwa mtu unajua imepitia hali gani? Kama betri imebadilshwa? kama kioo kimebadilishwa? kama haina waterproof seal je? Na mdau ameongelea kuhusu warranty. sasa subiri upatwe na matatizo ndio utajua kipengele gani Apple wanatumia kusajili ID

Kidogo kuwa realistic, sio uwe Anti Apple tu bila sababu za msingi
 
katika watu 10 wanaomiliki simu tanzania,uwezekano wa 7 kati yao kuwa wamenunua simu mkononi,mmoja tu kutoka kwa agent wa kampuni husika,na wawili kwenye maduka yetu ya refub kkoo. hapa haijalishi ni simu aina gani.ukienda apple store mlimani city iph 6s plus bado inasoma 1ml na uchafu.kkoo ni chini ya laki 7.

hoja yangu haikuwa kutotambua umuhimu wa simu mpya NO.bali mtu kujifanya mjanja sana kununua simu mpya.,
 
Maskini bhana. Hata mawazo yake yatajiandika tu.

Bruh nina iphone xs max 256 gb na iphone 8

Do the Math.

Nimesema sioni jipya cz ninatumia hzo device as we speak.

Achilia mbali mac book

Tatzo lenu mnadhani kila mtu anapenda brag humu JF
 
Nami nilitaka kumention hiyo phantom!
Labda unamaanisha Tecno hatengenezi high end smartphone,

Flagship ni simu nzuri ambayo mtengeneza simu anaweka uwezo wake wote kitechnolology kwenye hio simu. Mfano kwa Tecno Ni phantom series. Kila kampuni ya simu Ina flagship.
 
Mi hadhani Apple hawapo kwa ajiri ya kushindana na mtu

Anti Apple ndo wanahangaika na mtu asietaka mashindano na yoyote

Anaetaka anunue, asietaka apige kimya
Hajalazimishwa mtu

Mtambue Apple ni Brand ya kipekee kwa watu wa kipekee, so msitake iwe kama wengine wakati yenyewe imeamua kuwa ya kipekee
 
katika watu 10 wanaomiliki simu tanzania,uwezekano wa 7 kati yao kuwa wamenunua simu mkononi,mmoja tu kutoka kwa agent wa kampuni husika,na wawili kwenye maduka yetu ya refub kkoo. hapa haijalishi ni simu aina gani.ukienda apple store mlimani city iph 6s plus bado inasoma 1ml na uchafu.kkoo ni chini ya laki 7.

hoja yangu haikuwa kutotambua umuhimu wa simu mpya NO.bali mtu kujifanya mjanja sana kununua simu mpya.,
Ila wale apple store wa mlimani city hawatambuliki hata na apple wenyewe wale ni resellers tu wakaiwada ndo maama hata kwenye website ya apple Tanzania haitambuliki inatambulika South Africa tu..maana huko ndo kuna apple store halisi...
 
Kwasababu hata tecno ana simu ina megapixel 40.

Nani alikufundisha megapixel ndio kila kitu kwenye simu?

Kuna sensors, image processing, camera za sasa hivi zina hadi AI.

More megapixels haimaanishi kwamba utatoa picha nzuri kwasababu the best smartphone camera in the industry ina 12 megapixels. Samsung S10+ ina 12 megapixels na 16 megapixels.

Iphone by far anatengeneza simu zenye megapixels ndogo ila quality photos.
Usilinganishe camera hiyo na takataka ya apple ase
 
Huyu hata hiyo simu sidhani kama hata amewahi kuiona zaidi ya kuishia kui zoom google. P30 pro ndiyo funga kazi hakuna takataka yeyote utayoiweka hapo ikafiti hizo specs

We jamaa hujui cm na hujui unachokisema
Huawei kweli ni among the best camera phones ila sio best, ni best katika zooming japo ina very decent photos
Na huawei 48mp sensor yake ni jina na mostly normal scenarios inachukua 12mp katika hyo 48 mp
Huwez weka 48 mp ikatumika kutoa picha nzr saana ilio acurate kutokana na incompatible censor,

Ata sony au nekon zenyewe hazipendelei kutumia high mp

Hyo 48 mgp mostly zinatumika kwenye zooming
 
ina maana mkuu hujui ni jinsi gani tunaboreka baada ya ku zoom picha,tena kinara wa huo ufalla ni iphone,ni hopeless kabisa.
 
Mi hadhani Apple hawapo kwa ajiri ya kushindana na mtu

Anti Apple ndo wanahangaika na mtu asietaka mashindano na yoyote

Anaetaka anunue, asietaka apige kimya
Hajalazimishwa mtu

Mtambue Apple ni Brand ya kipekee kwa watu wa kipekee, so msitake iwe kama wengine wakati yenyewe imeamua kuwa ya kipekee
Masikini ndo wanaolalamika kuhusu Apple wakati wateja wao hawana shida na bidhaa wanazonunua.
 
ina maana mkuu hujui ni jinsi gani tunaboreka baada ya ku zoom picha,tena kinara wa huo ufalla ni iphone,ni hopeless kabisa.

Zooming huawei wako vzr, lakin picture quality ni pixel then iphone then samsung na huawei wako pamoja
 
Back
Top Bottom