iPhone 11... kuvunja rekodi?

Ndio nyie mnaonunua pc au simu kwa kuangalia logo ya apple

Kwa mtu aliyetimamu hawezi kufananisha megapixel 40 ya huawei p30 pro na iphone 11 yenye pixel 12+14

Kupata elimu isiyoweza kukusaidia kuchanganua hata vitu vidogo ni zaidi ya ujinga
Kwasababu hata tecno ana simu ina megapixel 40.

Nani alikufundisha megapixel ndio kila kitu kwenye simu?

Kuna sensors, image processing, camera za sasa hivi zina hadi AI.

More megapixels haimaanishi kwamba utatoa picha nzuri kwasababu the best smartphone camera in the industry ina 12 megapixels. Samsung S10+ ina 12 megapixels na 16 megapixels.

Iphone by far anatengeneza simu zenye megapixels ndogo ila quality photos.
 
Mwaka 2020 September Apple atakuja na USB type C na 5G tech phone, waumini wake wataipongeza balaa, watasema Apple amekuja na teknolojia mpya, bora huku Samsung,Huawei, Pixel nk watakua na karibu miaka 2 na 5G sokoni. Mwaka 2021 Iphone zitatoka zenye curved display, waumini wa Tim Cook watashangilia balaa, watasema Iphone imetoka na kitu amaizing.

Watumiaji wa Apple products hasa Iphone sio kwamba ni wapenzi wa Iphone tu, sasa wamekua waumini. Ukishakua muumini chochote unachoambiwa na dini yako unaona ndio cha kweli na bora sana, tena unawashangaa watu wa dini au dhehebu lingine hata kama unachokiamini hakina maana.

Tim Cook anawapa waumini wake simu ambazo ni 4 years technologically backward lakini waumini wake wanashangilia balaa. Aisee.
Mkuu jana ndo niliamini kwanini hawa waumini wa Apple wanaitwa iSheep...pale iliposemwa night mode..ultrawide angle...waumini walikua wanashangilia like it has never happen before... mpaka ikabidi nicheke tu...to be honest ile keynote yao ilikua bored sana compared na ya Samsung Note 10...ilikua ni ya 1 hr but most interesting...apple walitumia almost 1 hr n 45 mins but most of time wanatangaza services zao more than features za simu...To be honest am thankful sijawahi kuwa iSheep na I wish isije kunitokea..Am Out
 
😂😂😂ni sahihi kabisa hawa ni isheep, kondoo watiifu kwa bwana Tim Cook.

Jana mimi mwenyewe nilichoka na hiyo key note yao ya innovation only, unajiuliza innovation gani? 3 camera setup au Ultra wide angle au wide angle camera? Ios13? Hizo ndio innovation only? Aisee.
 
Kwasababu hata tecno ana simu ina megapixel 40.

Nani alikufundisha megapixel ndio kila kitu kwenye simu?

Kuna sensors, image processing, camera za sasa hivi zina hadi AI.

More megapixels haimaanishi kwamba utatoa picha nzuri kwasababu the best smartphone camera in the industry ina 12 megapixels. Samsung S10+ ina 12 megapixels na 16 megapixels.

Iphone by far anatengeneza simu zenye megapixels ndogo ila quality photos.

Unakoelekea utasema huawei wanatengeneza simu zenye storage ya GB 512 lakini uwezo wake halisi ni kama 64GB ya iphone

Mkuu mimi hapa naongea sio kiushabiki kama wewe nishafanya testing na nimekula hela za watu wabishi kama wewe waliothubutu kuweka dau. Kiujumla iphone kwenye camera ndio kabolonga kabisa, na wanaoipamba hua wanazungumzia swala la ulinzi na processor ila hawagusii kwenye swala la camera kwasababu wanajua udhaifu wake nakushangaa wewe

Unavyozungumzia smartphone iliyo latest hatutegemei kuiona na specs za kizamani ambazo zilifanywa na makampuni mengine miaka ya nyuma ambavyo zishakua outdated zimekinaiwa

Swala la tecno sijalipa kipaumbele sana kwasababu itakua ni ujinga zaidi kulinganisha iphone na simu ambayo haipo hata kwenye top ten ya simu bora duniani, lakini hata hivyo haimaanishi kua hakuna tecno iliyoizidi ubora simu ya iphone katika ubora wa camera. Iphone 4 imezidiwa na tecno ya zamani h6 pamoja na huawei serious ya lua kwenye camera

Kama megapixel sio kitu kwenye simu basi tungeona hata hao unaowanadi kua wana camera nzuri wangekua na camera zenye msgapixel sawa bila kuzidiana. Na sijazungumzia kua megapixel ndiyo inayobeba ubora wa simu nzima kiujumla, nimedokeza hivyo baada ya kuona unazikanyagia simu za android kua hazina ubora wa camera kwa kigezo cha kusema hata android awe na megapixel 5000 haitafua dafu kwa apple. Megapixel ina nafasi yake kwenye simu isipokua bora inatia dosari jina la smartphone inaonekana kama Siemens za oldschool

Lakini nilichokiona jibu lako lilikua limelenga kwa simu za tecno sio android kiujumla maana unaonekana umesahau kua mwanzoni mwa huu mwaka ni nani aliyemtoa apple kwenye nafasi yake ya upili na kumuweka namba tatu kisha kubadili yeye??
 
Kwa upande wa simu sasa hivi hakuna kampuni inayokuja na technology ya kutisha, zaidi wanaongeza gimmics za kutosha na improvements chache, halafu cha ajabu siku hizi watengeneza simu wamekomaa upande wa kamera as if kamera ndo kila kitu kwenye simu
Steve job kafa na kampuni
 
Unakoelekea utasema huawei wanatengeneza simu zenye storage ya GB 512 lakini uwezo wake halisi ni kama 64GB ya iphone

Mkuu mimi hapa naongea sio kiushabiki kama wewe nishafanya testing na nimekula hela za watu wabishi kama wewe waliothubutu kuweka dau. Kiujumla iphone kwenye camera ndio kabolonga kabisa, na wanaoipamba hua wanazungumzia swala la ulinzi na processor ila hawagusii kwenye swala la camera kwasababu wanajua udhaifu wake nakushangaa wewe

Unavyozungumzia smartphone iliyo latest hatutegemei kuiona na specs za kizamani ambazo zilifanywa na makampuni mengine miaka ya nyuma ambavyo zishakua outdated zimekinaiwa

Swala la tecno sijalipa kipaumbele sana kwasababu itakua ni ujinga zaidi kulinganisha iphone na simu ambayo haipo hata kwenye top ten ya simu bora duniani, lakini hata hivyo haimaanishi kua hakuna tecno iliyoizidi ubora simu ya iphone katika ubora wa camera. Iphone 4 imezidiwa na tecno ya zamani h6 pamoja na huawei serious ya lua kwenye camera

Kama megapixel sio kitu kwenye simu basi tungeona hata hao unaowanadi kua wana camera nzuri wangekua na camera zenye msgapixel sawa bila kuzidiana. Na sijazungumzia kua megapixel ndiyo inayobeba ubora wa simu nzima kiujumla, nimedokeza hivyo baada ya kuona unazikanyagia simu za android kua hazina ubora wa camera kwa kigezo cha kusema hata android awe na megapixel 5000 haitafua dafu kwa apple. Megapixel ina nafasi yake kwenye simu isipokua bora inatia dosari jina la smartphone inaonekana kama Siemens za oldschool

Lakini nilichokiona jibu lako lilikua limelenga kwa simu za tecno sio android kiujumla maana unaonekana umesahau kua mwanzoni mwa huu mwaka ni nani aliyemtoa apple kwenye nafasi yake ya upili na kumuweka namba tatu kisha kubadili yeye??
Maelezo marefu yasiyo na content.

Kujaza megapixel bila kuimprove sensors na image processing ni kazi bure.

Nimekuonesha smartphones with great camera sokoni sahivi unaleta chai. Google Pixel, Samsung Galaxy na Iphone. Zote zina range kwenye 12 - 16 megapixel.

Wewe peke yako dunia nzima ndo anaona iphone wameboronga kwenye camera. How lame is that?

Umekula hela za washamba wa Chato.
 
bro hivi unaijua huawei p30 pro,pixel mjuba!!!au tumeamua tu kubishana hapa!!

camera ni zaidi ya namba za pixel sawa,lakini huawei sio tecno au itel.
 
Simu inayoniwezesha kupigiwa na kupiga, haisumbui mtandao, naweza kutuma text, kamera ya kuchukua matukio, ikiwa na internet sio mbaya japo sio muhimu sana. Inatosha kwa matumizi ya wengi wetu. Hii kukimbilia matoleo mapya iendane na kipato cha mtu.
 
Mkuu jana ndo niliamini kwanini hawa waumini wa Apple wanaitwa iSheep...pale iliposemwa night mode..ultrawide angle...waumini walikua wanashangilia like it has never happen before... mpaka ikabidi nicheke tu...to be honest ile keynote yao ilikua bored sana compared na ya Samsung Note 10...ilikua ni ya 1 hr but most interesting...apple walitumia almost 1 hr n 45 mins but most of time wanatangaza services zao more than features za simu...To be honest am thankful sijawahi kuwa iSheep na I wish isije kunitokea..Am Out
Kondoo mmoja anakwambia huu mpangilio wa kamera ni mzuri,ukiuona live.
Kwa hiyo tusubiri mpaka tuione live ndo tuseme mpangilio ni mbaya.Hiii ni zaidi ya imani.
 
Maelezo marefu yasiyo na content.

Kujaza megapixel bila kuimprove sensors na image processing ni kazi bure.

Nimekuonesha smartphones with great camera sokoni sahivi unaleta chai. Google Pixel, Samsung Galaxy na Iphone. Zote zina range kwenye 12 - 16 megapixel.

Wewe peke yako dunia nzima ndo anaona iphone wameboronga kwenye camera. How lame is that?

Umekula hela za washamba wa Chato.

Hiyo list yako ya great camera umeitoa wapi?

Mkishaona ma celebreties wanatumia zile simu basi mnawehuka mnadhani ni bora kila idara hadi kufikia hatua kuifananisha na huawei ambayo ilimpindua kwenye rank ya upili.
 
Kwasababu hata tecno ana simu ina megapixel 40.

Nani alikufundisha megapixel ndio kila kitu kwenye simu?

Kuna sensors, image processing, camera za sasa hivi zina hadi AI.

More megapixels haimaanishi kwamba utatoa picha nzuri kwasababu the best smartphone camera in the industry ina 12 megapixels. Samsung S10+ ina 12 megapixels na 16 megapixels.

Iphone by far anatengeneza simu zenye megapixels ndogo ila quality photos.
Point ya jamaa huwez kuta manufacturer anaejielewa akaweka megapixel 40 alaf asizingatie camera sensor, software,apperture,etc
Sasa hiyo iPhone 11 imekuja na camera sensor ndogo unafikir itaweza ku compete na p30 pro? Never
Kweny camera software ndio wanakutana na google sasa kazi inazid kua yamoto

Hapo kweny camera wamesha chemka tayari...isheep kazi mnayo
 
Kuna watu wanaufananisha na uso wa alien!
Kondoo mmoja anakwambia huu mpangilio wa kamera ni mzuri,ukiuona live.
Kwa hiyo tusubiri mpaka tuione live ndo tuseme mpangilio ni mbaya.Hiii ni zaidi ya imani.
 
Tecno huuzia watu simu zao mbovu za mediatek kwa bei ghali sana, kwa ujumla huwapiga wateja wao, ndicho anachokifanya Apple, kuuzia watu simu ambazo ziko 3 years technologically backward kwa bei ghali wana tofauti gani?

Leo unazindua simu zenye 4k camera, teknolojia iko sokoni miaka 4 wana tofauti gani na tekno
bado hukunielewa. Tecno hatengenezi flagship
 
Imewekewa Oreo kama Custom?
Kuna maana gani kupata new update huku perfomance ikishuka? Si heri anaetoa 2 years then ukafanya manually na mzigo ukawa poa?

Mkuu kuna samsung S2 imewekewa Oreo inapiga kazi vizuri tuu...

Sasa why leo apple atudanganye kwa updates zake huku matoleo ya nyuma yakielekea kuwa toys?
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom