Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,102
- 53,351
Kwasababu hata tecno ana simu ina megapixel 40.Ndio nyie mnaonunua pc au simu kwa kuangalia logo ya apple
Kwa mtu aliyetimamu hawezi kufananisha megapixel 40 ya huawei p30 pro na iphone 11 yenye pixel 12+14
Kupata elimu isiyoweza kukusaidia kuchanganua hata vitu vidogo ni zaidi ya ujinga
Nani alikufundisha megapixel ndio kila kitu kwenye simu?
Kuna sensors, image processing, camera za sasa hivi zina hadi AI.
More megapixels haimaanishi kwamba utatoa picha nzuri kwasababu the best smartphone camera in the industry ina 12 megapixels. Samsung S10+ ina 12 megapixels na 16 megapixels.
Iphone by far anatengeneza simu zenye megapixels ndogo ila quality photos.