The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Sio market is saturated,watu wameanza kuwashtukia apple, android wengi wanatoa mid range phones zenye specifications sawa na za premius brand za apple, kwa nini mtu ahangaike na iphone?Kushuka kwa mauzo ya iphone ni market saturation ya smartphone duniani na sio uchina tu.
Apple ni high end smartphone wanunuzi wake ni watu wanaojiweza kimfuko.
Smartphone market ya China ipo saturated, watu wanao nunua simu mpya kila mwaka inapungua.
Makampuni ya simu za android wana mid range na low end smartphones ambazo wamegeukia masoko ya 'emmerging markets' hata hapa Tanzania, wanunuzi wa Note au S series smartphone wanazidi kupungua. Watu wanahamia kwenye A series na chini ya hapo.
Ila pamoja na kutengeneza flagships pekee ila Apple yupo mbali sana kwenye mauzo na faida kuliko vile unataka kutuaminisha.
Mauzo yanadrop na yataendelea kudrop zaidi. China ambayo ndio ilikua soko number 2 la iphones sasa hivi kuna makampuni kibao yanatoa simu zenye specifications na hata zaidi ya iphone kwa bei ndogo, wachina wameanza kustuka.
Soko alilobakia nalo ni Marekani ambapo kuna ushindani mkubwa na makapuni ya simu ya android yenye simu nzuri na bora kuliko Iphone kwa bei ndogo. Mauzo yatazidi kushuka kadri ya miaka inavyoenda.
Kama nilivyosema hapo awali, watumiaji wa iphone ni waumini, wao kwa kua iphone inajibrand kama premium brand, hata ikiwauzia mavi ikawaambia ni premium product watanunua tu.
Huko China wachina wanasema Iphone imeiba camera setup ya Mate 20.