elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,704
Hata situmii iphone kwa sasa nimerudi zangu samsung A series nina ki a50 kinanifariji. Japo kuna kitu nammiss kwenye ios
Ndio faraja mnayojipa huku apple akiendelea kuachwa nyuma na makampuni yaliyoibuka hivi karibuni. Wakati Samsung, Oneplus, Honor, Huawei na wengine wakitoa display za maana na techmolojia ya maana nyie mnajifariji eti apple anatengeneza njia.
Kwa simu za jana hapo apple katengeneza njia gani? Camera 3 tayari ziko sokoni muda, wide angle camera ziko sokoni muda mrefu, night mode ziko sokoni muda mrefu, ni kitu gani apple sasa anaweza kuigwa? Yeye ataishia kuwauzia misimu ya teknolojia ya miaka 3 nyuma huku akiwapiga bei.