iPhone 11... kuvunja rekodi?

Mkuu unajichanganya sana, may be hujui hasa nini maana ya maboresho!!

Huwezi kufanya maboresho huku unaharibu!

Uharibifu na maboresho are mutually exclusive!!
Usikariri kuwa maboresho ni spidi tu. Maboresho yanaweza kuwa UI, maboresho yanaweza kuwa Security tu, Maboresho yanaweza kuwa perfomance...

Wewe kama mtumiaji wa smartphone, utaona kwenye kufanya updates, utakuta nini wana update. Vile vile hio hio update inaweza ikawa source ya new vulnerabilities kujitokeza.
 
So
Soko kubwa la iPhone liko Africa siyo? Nijuze mkuu sababu huko mwingine kuna 5G kwani hawatengenezee hao kama wengine walivyofanya
Mwaka 2020 September Apple atakuja na USB type C na 5G tech phone, waumini wake wataipongeza balaa, watasema Apple amekuja na teknolojia mpya, bora huku Samsung,Huawei, Pixel nk watakua na karibu miaka 2 na 5G sokoni. Mwaka 2021 Iphone zitatoka zenye curved display, waumini wa Tim Cook watashangilia balaa, watasema Iphone imetoka na kitu amaizing.

Watumiaji wa Apple products hasa Iphone sio kwamba ni wapenzi wa Iphone tu, sasa wamekua waumini. Ukishakua muumini chochote unachoambiwa na dini yako unaona ndio cha kweli na bora sana, tena unawashangaa watu wa dini au dhehebu lingine hata kama unachokiamini hakina maana.

Tim Cook anawapa waumini wake simu ambazo ni 4 years technologically backward lakini waumini wake wanashangilia balaa. Aisee.
 
Angalia hizi comments mkuu....

View attachment 1204469
Sijakataa mkuu.

Kuna baadhi ya features ni standard sokoni na sio mtu anacopy mfano 4K, Ultra Wide Camera.

Ila kuna zile technology ambazo mtu anazigundua na wengine wanaona poa kuziweka kama reverse wireless charging, indisplay fingerprint scanner, n.k

Matumizi ya simu yanatofautiana baina ya watu. Kuna wale basic users, hawana mambo mengi wanachotaka tu basic features and it's okay with them.

Na kuna wale wanaopenda gimmick features, mf. Hiyo reverse wireless charging, 5G kwa hali ya sasa unaifanyia nini? Apple walileta 3D touch sahivi wameitoa baada ya kuona haina issue zaidi ya kuwa gimmick.

Apple toka mwanzo wana aina yao ya charging system, sidhani kama watakuwa tayari ku compromise kwenye hilo. Hiyo ni standard feature.

Ni vizuri kuwa wa kwanza sokoni na teknolojia yako ila kuna wakati iki back fire inakuharibia reputation. Mf. Battery za Samsung Note 7 zilikuwa zinalipuka, kwanini? Samsung fold saga wakarudi kuanza upya.

Sikatai kuwa wa kwanza kuleta new features, ila you have to be confident if it's what people want.

Apple ni premium brand, are they ready to jump into anything coming to their mind?
 
So
Soko kubwa la iPhone liko Africa siyo? Nijuze mkuu sababu huko mwingine kuna 5G kwani hawatengenezee hao kama wengine walivyofanya
Nimekwambia 5G bado sana hata huko dunia ya kwanza.

Na tech reviwers wameshafanya tests ya 5G. Within the same street kuna wanaopata 5G na wengine hawapati. Hiyo 2019.

Labda miaka mitatu ijayo.
 
Mkuu unajichanganya sana, may be hujui hasa nini maana ya maboresho!!

Huwezi kufanya maboresho huku unaharibu!

Uharibifu na maboresho are mutually exclusive!!
Sijichanganyi, tatizo ndugu yangu, wewe umezoea kila boresho maana yake spidi kubwa.
 
Mwaka 2020 September Apple atakuja na USB type C na 5G tech phone, waumini wake wataipongeza balaa, watasema Apple amekuja na teknolojia mpya, bora huku Samsung,Huawei, Pixel nk watakua na karibu miaka 2 na 5G sokoni. Mwaka 2021 Iphone zitatoka zenye curved display, waumini wa Tim Cook watashangilia balaa, watasema Iphone imetoka na kitu amaizing.

Watumiaji wa Apple products hasa Iphone sio kwamba ni wapenzi wa Iphone tu, sasa wamekua waumini. Ukishakua muumini chochote unachoambiwa na dini yako unaona ndio cha kweli na bora sana, tena unawashangaa watu wa dini au dhehebu lingine hata kama unachokiamini hakina maana.

Tim Cook anawapa waumini wake simu ambazo ni 4 years technologically backward lakini waumini wake wanashangilia balaa. Aisee.
Hakuna mtu anayepongeza na kusema ni teknolojia mpya. Ila wanafurahi atleast na wao wamepata kitu kama hiko. Mfano ni dark mode.

Kuna features ni gimmicks tu, sioni haja ya kuwa nazo mfano reverse wireless charging. Una ihitaji ya nini?? Kulikuwa na 3D touch, sikuona faida yake na wameitoa sahivi.

Watu wa android ndo mnakimbilia features mradi mnaonekana mnazo ilihali hamzitumii. Samsung aliweka feature unapungia simu inajipokea, is that what you need?

Kuna feature zipo ahead of time, wewe hapo unahitaji 5G phone ya nini? Unless uniambie upo US au Europe ambapo mtaani kwako wameshajaza cells za 5G.

Kuna wakati apple wanazingua, sijakataa. Na kuna wakati Samsung wanakimbilia kuleta feature mpya ambazo either hazihitajiki au zina ishia kuback fire na kuwaibisha.
 
Kwa hio mkuu hapo watumia iphone au
Kwasababu it's not what apple customers want.

It's not their selling features.

Mtu wa android ukimuambia simu ina 16GB Ram na betri ya 5000 mah atakimbilia dukani kwako kwasababu kwanza wateja hawajielewi pili hawana kingine zaidi cha kuoffer. Android is universal and the same allover nothing perculiar.

Kwenye keynote ya apple unaelezewa zaidi kuhusu software, hardware and other supporting features.

Story za Ram na battery zipo kwenye device za android.
 
Nimekwambia 5G bado sana hata huko dunia ya kwanza.

Na tech reviwers wameshafanya tests ya 5G. Within the same street kuna wanaopata 5G na wengine hawapati. Hiyo 2019.

Labda miaka mitatu ijayo.
Mfano Tecno, si wanajua soko lao kubwa ni Africa, watakuja na simu 5G matangazo mengi, watu watanunua simu na kujisifia wana 5G ukiwauliza umetumia lini 5G wanabaki kusema "manake manake manake..." Hii style mimi ndio naitaga wasting resources. Yaani wanatumia ivi vitu
Hakuna mtu anayepongeza na kusema ni teknolojia mpya. Ila wanafurahi atleast na wao wamepata kitu kama hiko. Mfano ni dark mode.

Kuna features ni gimmicks tu, sioni haja ya kuwa nazo mfano reverse wireless charging. Una ihitaji ya nini?? Kulikuwa na 3D touch, sikuona faida yake na wameitoa sahivi.

Watu wa android ndo mnakimbilia features mradi mnaonekana mnazo ilihali hamzitumii. Samsung aliweka feature unapungia simu inajipokea, is that what you need?

Kuna feature zipo ahead of time, wewe hapo unahitaji 5G phone ya nini? Unless uniambie upo US au Europe ambapo mtaani kwako wameshajaza cells za 5G.

Kuna wakati apple wanazingua, sijakataa. Na kuna wakati Samsung wanakimbilia kuleta feature mpya ambazo either hazihitajiki au zina ishia kuback fire na kuwaibisha.
Haya ndo mambo ambayo ninayazungumzia na kujaribu kutaka watu waelewe.

Katika features ambayo nilicheka sana ni hio kupungia mkono simu inajipokea, i swear, sijawahi kumuona mtu na S4 akifanya icho kitu kabisa. Sasa hii nayo feature ya kuringia kama haina usage?

Apple wanakupa what you need, Wengine wanakuuzia what you don't need.
 
Kwa upande wa simu sasa hivi hakuna kampuni inayokuja na technology ya kutisha, zaidi wanaongeza gimmics za kutosha na improvements chache, halafu cha ajabu siku hizi watengeneza simu wamekomaa upande wa kamera as if kamera ndo kila kitu kwenye simu

Kamera ndo nyanja ngum
Mpango ni kuzifikia kamera za bei ya juu mzee, kwenye nyanja nyingine wako vzr sana mana display zao tu ni zaid ya tv na ram zaid ya computer
Kilichobaki ni graphics na camera tuu basi, ndo apo ambapo pixel kawazidi wenzie
 
DSLR camera zitabaki juu hata iweje, kamwe kamera ya simu hiwezi kufanya vitu vya DSLR camera na haitakaa zije kuwa sawa
 
As kwa mda huu saa tisa inaelekea na nusu usiku nikitazama channel ya CCN ya marekani naona mauzo ya mwanzo ya Iphone 11 yamekuwa mabaya sana, kuliko hata ya wapinzani wao Samsung, Google na Huawei waliotoa nao matoleo mapya hivi karibuni.

Hawajaanza kuuza mzee, wanaanza preoders ijumaa
Kusupply 20th
 
Mfano Tecno, si wanajua soko lao kubwa ni Africa, watakuja na simu 5G matangazo mengi, watu watanunua simu na kujisifia wana 5G ukiwauliza umetumia lini 5G wanabaki kusema "manake manake manake..." Hii style mimi ndio naitaga wasting resources. Yaani wanatumia ivi vitu

Haya ndo mambo ambayo ninayazungumzia na kujaribu kutaka watu waelewe.

Katika features ambayo nilicheka sana ni hio kupungia mkono simu inajipokea, i swear, sijawahi kumuona mtu na S4 akifanya icho kitu kabisa. Sasa hii nayo feature ya kuringia kama haina usage?

Apple wanakupa what you need, Wengine wanakuuzia what you don't need.
Mtu anakimbilia teknolojia mpya ili hali haihitajiki wala haimsaidii chochote. Inabaki kuwa gimmick.

Apple wangeleta 5G phone ningewaona vichaa tu na wao. Kuiga ni kuzuri, sijakataa na sio aibu. Mfano wa display za samsung za sahivi zipo fresh vibaya mno.

Naweza sema apple wapo ahead of time kwasababu hawaangalii kwenye simu pekee, wanaangalia hiyo feature ina affect vipi ecosystem nzima.

Apple watch umechelewa kuja kulinganisha na major brands. Ila imekuja na kuleta impact kubwa kuliko hao wengine.

Sidhani kama apple hawana hizo teknolojia, ila mpaka wazijaribu na kuona zinafaa ndo mnaletewa.
 
Sasa mkuu watu wasipokuwa na simu za 5G Sasa Hivi hio mitambo itatestiwa na Nani? Lazima watu wa mwanzo wawepo ili vitu viendelee mbele.
 
Hiyo resale value si kwakua mtu mwenyew anatoa simu kwa manati unategemea nn?
Sio kutoa kwa manati.

Ni brand perception among customers.

Apple ni premium brand.

Apple ni sawa na Marcedes Benz. Kuna hela unatoa kwa kumiliki apple device tu.
 
Sasa mkuu watu wasipokuwa na simu za 5G Sasa Hivi hio mitambo itatestiwa na Nani? Lazima watu wa mwanzo wawepo ili vitu viendelee mbele.
Ndio maana nakwambia huwezi kukimbilia features kwasababu mwenzako anatoa.

Acha wengine watoe, pitia drawbacks wanazopitia.

Ukitoa yako inakuwa bora zaidi kwa kusoma wengine wamepata changamoto gani.

Mfano, Samsung Fold siku apple watakapokuja na fold yao, tayari watakuwa wamejua wapi kuna shida.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom