iPhone 11... kuvunja rekodi?

Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
27,111
39,289
Habari wadau wa gadgets...

Wale wapenzi wa iPhones siku mbili zijazo apple watazindua iphone 11. Simu hii inasemekana itavunja rekodi ya smartphone zote ktk kila nyanja.

Karibuni hapa tuisubiri na tuichambue kwa kina.
images.jpeg-9.jpeg
 
Yeah CNET naona ni mawakala wao.... but nimejaribu kupitia techradar naona kama ni yale yale ya XS Max!!
Apple wenyewe wapo confident maana for the first time wataionesha live YouTube.

Sema hao kina cnet Ni wazee wa kutumika Ni nadra kuwakuta wakilisema vibaya tunda.

Tusubiri tuone.
 
Back
Top Bottom