IPE NENO PICHA YANGU YA LEO

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,293
33,078
MKIOROGO YA WANAWAKE.jpg
 
Nilishawahi muona Dada mmoja kwenye daladala tena alikaa ile siti ya mbele pale katikati ambapo huwa akikaa mtu anawaangalia abiria walioko nyuma yaani hakuwa hata na chembe ya kujiamini kutokana na miguu yake kuwa kama hiyo hapo maana alipokaa nguo ilinyanyuka basi miguu ikawa wazi yaani hadi nilimuonea huruma.

Sababu kila mmoja akimtupia jicho linadondokea kwenye miguu. 😀😀
 
MziziMkavu, Naomba nikuulize, Picha yenye caption naiwekeaje caption?
Mkuu mimi sio mtaalamu Muulize Admin Mr Invisible ataweza kuku saidia mimi huwa ninatumia Computer Desktop aka (PC) kuweka picha hapa Jamii Forums situmii njia ya simu kuweka picha hapa. Kuchat na Adim Mr Invisible bonyeza hapa.https://www.jamiiforums.com/conversations/add?to=Invisible
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom