Ipe neno picha ya leo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,112
IPE NENO PICHA YA LEO.jpg
 
Halafu akiamka atanipgia simu anambie "baby nimekuota nilivyolala"

unalala unapitiwa na mamende halafu unaniota mimi mxieeeew....
 
Hahaha, aisee niliuona nikapuuza nikapita zangu kucheck nyuzi zingine kumbe ule una mambo mazito yakhee

Ila pale Hamna kitu...CHAI kama chai zingine tu.

Trust me
Khaa eti chai, au unajipa moyo kwa vile una hofu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom