Ipe neno moja hiyo picha nani mpishi hapo? Ntu mke au ntu mume?

Hahahahaaa unamaanisha Regina Mhalekwa? Hapana sina undugu naye ila ni mmoja wa watangazaji wa radio ambao nawakubali sana tangu enzi zile yuko radio tumaini. Japo sauti zetu zinafanana.

Mmesoma naye?
Sahihi mkuu.Tulisoma naye magazeti.
 
Sahihi mkuu.Tulisoma naye magazeti.

Ookeee umenikumbusha yule mzee wa radio tumaini wa chimba chimba... mzungu mswahili.

Mimi si mroman Catholic ila wakati hii radio inaanza nilikuwa naisikiliza tangu alfajiri hadi wanapozima mitambo saa 6 usiku. Nilikuwa najua kusali sala zote. Kila wakisali nami nilikuwa nasali.
 
Uzubillah toobaa! Wallah wajua kuswali weye!Mashaalllaah! Sina neno miye!
 
MUME....

Hapo nimjibu swali la mada husika, ila hapo mpishi ni huyo mkuna nazi na hapo anachukua uzoefu ili usiku chumbani akamkune na huyo mchambua mchele heheheheheheee.

Huyo ntu mume atakuwa Mdigo, ndo wana wivu balaa si kwa kumbana hiko nkewe khaaaa hahahahahaaa.

Masai yake anamsaidia kupika ili wawahi uwanja wa fundi seremala chumbani washindane kulegeza nati hahahahahahahahahahaaaa.

Itakuwa kifurukuta bin kubiringita.
(Mtoa mada niwe radhi huwa nashindwa kuandika kifupi najikuta tuu maneno yanakuja na ka paragraph kamejaa.)

Kasie yule yule Kasinde.
Utamu wa ndoa bana......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom