Ipe neno hii picha Diamond na Kiba walipokuta jana kwa ajili ya futari

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,478
20,390
CmTI9E0XgAA6V6I.jpg
 
Wewe unashangaa hilo, mimi nilikuwa na rafiki yangu mmoja wa viongozi wanne wa juu wa Vodacom, lakini hakuwahi kuwa na namba kampuni yake , yeye muda wote alikuwa anatumia namba ya Tigo.
 
Ronaldiho aliwahi kusitishiwa mkataba wake na kukatwa kitita cha fedha na Klabu ya Grêmio ya Brazil, baada ya kuweka chupa ya soda ya pespi mezani wake, wakati Klabu yake inadhaminiwa na Coca Cola
 
Ronaldiho aliwahi kusitishiwa mkataba wake na kukatwa kitita cha fedha na Klabu ya Grêmio ya Brazil, baada ya kuweka chupa ya soda ya pespi mezani wake, wakati Klabu yake inadhaminiwa na Coca Cola
kuna watu hawana utani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom