MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,478
- 20,394
hata Bakhresa nimemuona kama mara mbili hivi anakunywa maji ya Kilimanjaro,kwa kweli ilinishangaza sanaWewe unashangaa hilo, mimi nilikuwa na rafiki yangu mmoja wa viongozi wanne wa juu wa Vodacom, lakini hakuwahi kuwa na namba kampuni yake , yeye muda wote alikuwa anatumia namba ya Tigo.
Huyo alikuwa nayo . Labda alitaka isijulikane kwa wengine.Wewe unashangaa hilo, mimi nilikuwa na rafiki yangu mmoja wa viongozi wanne wa juu wa Vodacom, lakini hakuwahi kuwa na namba kampuni yake , yeye muda wote alikuwa anatumia namba ya Tigo.
Na Mengi unakuta mezani kwake ana maji ya chupa ya Uhaihata Bakhresa nimemuona kama mara mbili hivi anakunywa maji ya Kilimanjaro,kwa kweli ilinishangaza sana
hNa Mengi unakuta mezani kwake ana maji ya chupa ya Uhai
kuna watu hawana utaniRonaldiho aliwahi kusitishiwa mkataba wake na kukatwa kitita cha fedha na Klabu ya Grêmio ya Brazil, baada ya kuweka chupa ya soda ya pespi mezani wake, wakati Klabu yake inadhaminiwa na Coca Cola