Ipe neno hii picha Diamond na Kiba walipokuta jana kwa ajili ya futari

Wewe unashangaa hilo, mimi nilikuwa na rafiki yangu mmoja wa viongozi wanne wa juu wa Vodacom, lakini hakuwahi kuwa na namba kampuni yake , yeye muda wote alikuwa anatumia namba ya Tigo.
hata BILL GATES mbn anatumia simu za apple(iphone) wakati ana kampuni ya simu pia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom