Ipe maneno picha yangu ya leo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
1474491_762657697089705_1494417674_n.jpg
 
Leo kidogo umeleta picha yenye ujumbe wa maana, si ule uongo wako wakujidai familia yako kumbe umeitoapicha kwenye mtandao.
 
Leo kidogo umeleta picha yenye ujumbe wa maana, si ule uongo wako wakujidai familia yako kumbe umeitoapicha kwenye mtandao.

Ujumbe wa maana wakati tunanyonywa ndani ya utawala wa ccm!! Ivi ni kweli ukiipenda ccm ni kama unaakili za maiti?
 
Mafuta yaliyopo Africa juu,Libiya nawenzake tunayanyonya na karibu tutayamaliza kisha tutawashukia waliopo chini kama sudan kusini na aliopakana nao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom