Ipe maneno picha hii:

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,475
39,991
1.JPG
 
HAROOOO.....hivi nyie kila siku tunatangaza kupanda pikipiki kwa aina hii ya mshikaki ni hatari kwa nini hamsikii tena AROO ni hatari zaidi maaNA hamna hata mahelmeti....hivi MUNATAKA TUONGEREE KUTOKA WAPI.....haya shukA haRAka.........twende kituoni.........
 
"kwanini mmebeba kuku kwenye baskeli bila kuwaweka kwenye pakacha"

"Dada, unajisikiaje"?
 
Mura, kabla sijakuzabua, umethidisha abiria na kubeba makuku. hukiruti pitia kwa rikituo.
 
Onyesha kadi ya pikipiki ooopssy!... abiria mbona hawajavaa helmet?..na huyu kuku.... halafu umezidisha abiria..una makosa kama kumi na mbili mpaka sasa hivi..unasemaje?
 
"Nenda, usirudie lakini pitia pale nyumbani uache kuku mmoja kwa mke wangu mama Mwita." ...

" Mama Mwita, anza kusonga ugali mboga inakuja."
 
Ili niwaruhusu muondoke naomba mniachie hicho kitoweo la sivyo mnaongoza kituoni
 
We Dereva, SHUSHA HUYU ABIRIA wa katikati Harafu nyinyi wanaume ondokeni na pikipiki Renu HARAKA sana. na MSIANGARIE nyuma. TOOKA!
 
"mara ya pili sasa nakushika leoo sikusamehi"
jamani ww mama mnakubalije kupanda wakati hamna kinga?
nasema wote shuka dereva twende kituoni:D
 
Watu wengine bwana alafu tukiwawajibisha mnasema oooh wazee wa upatu nomaa,sasa hapa nikusaidiaje!!
 
Aroo! najua unaerewa umeshafunja sheria..kosa ra kwanza kupakia abiria kwa mutindo wa mushikaki, kosa ra piri wote hamkuvaa yare mabakuri kichwani..Sasa kwa usarama wako nipe hao kuku wote na upotee hapa haraka.
 
"Ushikaji gani wa kuku huo, si wanaweza kumdonoa abiria mwenzio? Hebu dereva wahi uende, uwe muangalifu usije ukawaua wenzio"......
 
kwanini mnavunja sheria nyie madereva na abiria?
nyie abiria kila kukicha mnalalamika madereva eti ni wazembe kumbe nyie ndio mnawadekeza,kwanini mmepanda ivi mishkaki?na hamna helmeti??tena mmebeba na muzigo huo?
apa hakuna msamaha,isije kuwa muro anapiga picha hamfai kabisa nyie!
aya dereva twende kituoni
;)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom