Ipe maneno picha hii

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,427
154,274
403018_397099030365430_561493468_n.jpg
 
mwanaume kaficha 0713....yake ila abiria chunga mzigo wako kwa kumshika mkewe
 
"Dushelele ya njemba yaenda winga akiwa usingizini na mke wa mtu"...hiyo ndiyo title yangu
 

............. EEEEE BWANAE....... huyu mama ni muuza gongo... na huyu jamaa ni mteja wake lakini leo kapata pesa ndipo akaamua kumlazimisha mama muuza kwamba leo wanywe wote......walikubaliana wanywe kidogo kidogo...... ikiwezekana debe zima! ... wameanza tangia saa tatu asubuhi...... na saa hizi ni saa 3:30 usiku... jamaa alikuwa anamvuta waondoke wakaishia kupiga usingizi......... ngoja mvua inyeshe kaubaridi katawaamsha........
 
Wanaonekana kuwa na maisha ya kawaida ya kuweza timiza shida zao kwa pamoja. Kitendo cha pozi hio kama wamelewa pamoja ina ashiria wapo pamoja kwa kila jambo, ni marafiki zaidi ya wapenzi, na wapendana kwa dhati... Hii kama ni kapo kweli ndio zile ambazo hawaachanagi, maana wakiachana kukuta mwingine wanae endana kama huyo inakuwa mtihani. Wao maisha ni jinsi unavyoamua kuyachukulia mwenyewe... Na kama vile wanasema tumeridhika na Life is good.
 
Yaani ka nasikia wanavoongea yale matamshi ya kilevi hadi walivoangukia hapo
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom