Hawa sasa wanatuibia, hiyo IPHONE peke yake unalipa $30.00 for data plan + bill ya kawaida kutegemea na package uliyonayo. Sasa ukiongezea na hii Ipad ambao AT&T watakuwa wanacharge $29.99/month for unlimited use, and $14.99/month for up to 250 megabytes is too much.Mh! Hawa jamaa sasa, mpk naogopa.