Ipad kwa bei poa

Livanga

JF-Expert Member
Apr 15, 2010
469
148
Nauza ipad yangu ni ya ipad one ya 32gb na wifi kwa kiasi cha shilingi laki 4 tu.
ImageUploadedByJamiiForums1353396719.514992.jpg
 
Wenzako wanazitangaza za 5,weye yakhe bado uko kwenye moja,hiyo mpelekee babu kijijini aifanye kama albam.Au mpe shamba boi wako naye ajidai mtaani.
 
Nikupe 200 kufanye biashara

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mfa maji haachi kutapatapa wewe unayo?
Wenzako wanazitangaza za 5,weye yakhe bado uko kwenye moja,hiyo mpelekee babu kijijini aifanye kama albam.Au mpe shamba boi wako naye ajidai mtaani.
 
Ukweli unauma eeh!jifunzeni charities.mnadhani wazungu wangekuwa na roho mbaya kama za kwako mitumba mngeiona wapi?si mngetembea uchi!!!.
 
Ukweli unauma eeh!jifunzeni charities.mnadhani wazungu wangekuwa na roho mbaya kama za kwako mitumba mngeiona wapi?si mngetembea uchi!!!.

ila mimi nadhani wazungu hawana sehemu ya kuzitupia hizo nguo ndio maana wameigeuza africa kuwa an indirect-dampo la vitu walivyovichoka au wanavyoviona havina quality ya kiwango kinachostaili
(my idea) :)
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom