IOS hacher hired by apple- Lesson Tanzania to reform its carriculum

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
5,976
Points
0

Mtazamaji

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
5,976 0
Keep your friends close, but your enemies closer. - Michael Corleone

Read full article @ http://www.dailytech.com/IOS+Hacker+Comex+Hired+as+Apple+Intern/article22551.htm

Angalizo

He is just 19 yrs, an age ambayo kwa elimu yetu ya bongo ndio umemaliza form four au uko form five katika umri huo kama kuna mtu anajua kompyuta sana sana ni MS word, powerpoint na MS access. kama mlisoma yule dogo wa Lulzsec aliyekuwa ana hack FBI na CIA na Sony naye alikuwa na miaka 18 tu.

fundisho kwa mfumo wetu wa elimu tanzania

Wenzetu sio kwamba wana akili sana bali wana specilaize mapema kwenye elimu zao. Inawezekana ukimuuliza huyo dogo mambo geography au chemistry au biology hajui . Yeye toka mapema alimua kuomaa na mambo fulani specific. Sisi tunajua kidogo kidogo ila kitu

Mwisho wa siku tunajikuta tuna Idea na mambo mengi sana lakini hatukijui kitu chochote Kiundani na kikamilifu.
 

Forum statistics

Threads 1,355,614
Members 518,708
Posts 33,113,754
Top