Iodine Tincture, Dawa bora zaidi kwa Fungus na Bacteria

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Mods, hii ni comment yangu katika moja ya mada, lakini kutokana na umuhimu wa mada hii kutokana na tatizo la mba na fungus hasa wa sehemu za siri kuwa sugu, nimeona nilifungulie uzi ili kuwahimiza watumiaji wa dawa kuiulizia tiba hii katika maduka ya dawa...

Iodine ni dawa bora kwa mba na fungus.. Ni dawa bora kuliko dawa nyingine zote unazozifahamu. According to Dr David Derry, Iodine is by far the best antibiotic,antiviral and antiseptic of all time.
Asubuhi nilikuwa nawashwa na fungus kwenye pumbu.. Nimepaka iodine kwa mbali sasa hivi shwaari kabisa.. Iodine haina mjadala kwa fungus wala bacteria.. (angalizo.. Dawa hii ni kali sana hasa kwenye pumbu.. Ukipaka hakikisha unapaka kwa mbali mbali. Ukipaka nyingi utatamani upige 'vigele gele'...)

Source:

Iodine and Antibiotics

Summary from the link:

Though it kills 90 percent of bacteria on the skin within 90 seconds its use as an antibiotic has been ignored. Iodine exhibits activity against bacteria, molds, yeasts, protozoa, and many viruses; indeed, of all antiseptic preparations suitable for direct use on humans and animals and upon tissues, only iodine is capable of killing all classes of pathogens: gram-positive and gram-negative bacteria, mycobacteria, fungi, yeasts, viruses and protozoa. Most bacteria are killed within 15 to 30 seconds of contact.

Iodine is by far the best antibiotic,antiviral and antiseptic of all time.- Dr. David Derry

Dr. Derry says that iodine is effective “for standard pathogens such as Staphylococcus, but also iodine has the broadest range of action, fewest side effects and no development of bacterial resistance.” There is a world of difference between using an antibiotic – anti-life substance – and a antibiotic, antiviral and antifungal substance like iodine, which is life serving because it is a basic and most necessary nutritional substance.

Iodine kills single celled organisms by combining with the amino acids tyrosine or histidine when they are exposed to the extra-cellular environment. All single cells showing tyrosine on their outer cell membranes are killed instantly by a simple chemical reaction with iodine that denatures proteins. Nature and evolution have given us an important mechanism to control pathogenic life forms and we should use it and trust it to protect us in ways that antibiotics can’t.
 
Ngoja kesho niijaribu kichwani maana kuna vipele vimeota niliambiwa ni fungus lakini kila dose niliyoandikiwa naona kama inagonga mwamba kuanzia zile za tube hadi vidonge
 
Ukipaka mfululizo ndani ya wiki tatizo lako litakuwa ni historia kama kweli limesababishwa na mba, virus au bacteria...
 
Ukipaka kwenye pumbu ujiweke karibu na panga boi tena la mwendokasi, ikupige upepo kwenye hayo maeneo.
 
Fuata maelekezo... Fanya kama vile unafuta simu kwa kutumia kitambaa chenye maji maji. Sio unaosha simu... Yani unachukua pamba unachovya kidogo kidogo na unapaka juu juu. Ukipaka nyingi itapenya kwenye ngozi na ndipo hapo cha moto utakapo kiona...
 
si muache kuvaa boxer?
boxer unavaa week hufui ,vumbi kibao utaacha kuwashwa . hata uogee debe la iodine haitosaidia
 
Mods, hii ni comment yangu katika moja ya mada, lakini kutokana na umuhimu wa mada hii kutokana na tatizo la mba na fungus hasa wa sehemu za siri kuwa sugu, nimeona nilifungulie uzi ili kuwahimiza watumiaji wa dawa kuiulizia tiba hii katika maduka ya dawa...

Iodine ni dawa bora kwa mba na fungus.. Ni dawa bora kuliko dawa nyingine zote unazozifahamu. According to Dr David Derry, Iodine is by far the best antibiotic,antiviral and antiseptic of all time.
Asubuhi nilikuwa nawashwa na fungus kwenye pumbu.. Nimepaka iodine kwa mbali sasa hivi shwaari kabisa.. Iodine haina mjadala kwa fungus wala bacteria.. (angalizo.. Dawa hii ni kali sana hasa kwenye pumbu.. Ukipaka hakikisha unapaka kwa mbali mbali. Ukipaka nyingi utatamani upige 'vigele gele'...)

Source:

Iodine and Antibiotics

Summary from the link:

Though it kills 90 percent of bacteria on the skin within 90 seconds its use as an antibiotic has been ignored. Iodine exhibits activity against bacteria, molds, yeasts, protozoa, and many viruses; indeed, of all antiseptic preparations suitable for direct use on humans and animals and upon tissues, only iodine is capable of killing all classes of pathogens: gram-positive and gram-negative bacteria, mycobacteria, fungi, yeasts, viruses and protozoa. Most bacteria are killed within 15 to 30 seconds of contact.

Iodine is by far the best antibiotic,antiviral and antiseptic of all time.- Dr. David Derry

Dr. Derry says that iodine is effective “for standard pathogens such as Staphylococcus, but also iodine has the broadest range of action, fewest side effects and no development of bacterial resistance.” There is a world of difference between using an antibiotic – anti-life substance – and a antibiotic, antiviral and antifungal substance like iodine, which is life serving because it is a basic and most necessary nutritional substance.

Iodine kills single celled organisms by combining with the amino acids tyrosine or histidine when they are exposed to the extra-cellular environment. All single cells showing tyrosine on their outer cell membranes are killed instantly by a simple chemical reaction with iodine that denatures proteins. Nature and evolution have given us an important mechanism to control pathogenic life forms and we should use it and trust it to protect us in ways that antibiotics can’t.
Mkipata madhara kwenye nguvu za kiume ndo wa kwanza kutafuta mkuyati, umeshauriwa na Dr au physician yeyote kutumia hiyo iodine? Mkishindwa kupiga mushubebe msianze kutafuta mchawi, khakis mmejiloga wenyewe
 
Wapelekee vijana Pugu sec school wanateseka sana pale NA utapiga hela balaa....
 
Hivi kwa mwanaume unaejielewa,unaanzaje kupata mafangasi kwenye nyeti zako?
 
Hizo dawa za kupaka ukaanza kuzunguka chumba kwa maumivu hata sizitake
 
Sheria Na 1 ya matumizi ya dawa yoyote, sharti upate ushauri wa DKT.

Tahadhari na matangazo ya matumizi ya dawa kwani miili ya binadamu haifanani kiafya
 
Back
Top Bottom