Invisible party (Chama kisichoonekana)

lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,743
1,379
Nimekaa nikatafakari sana upepo wa siasa unaendelea sasa.
Nimeona niwashauri kidogo wanasiasa.

1. Kuna kitabu fulani cha Dhehebu fulani moja ya msingi wake wanasema kuna invisible church yaani kanisa lisiloonekana hili ni kanisa ambalo huwa ndani ya imani fulani ili kuzuia maasi. Mfano unaweza kuona makasisi wasomi ni masheikh ambao wamechukua vyeo vikubwa kabisa misikitini na katika eneo nyeti la uongoz wa misikiti na wanakuwa mstari wa mbele kabisa kuhamasisha juu ya dini hiyo lakini kiuhalisia sio wa dini hiyo na husaidia ku compromise imani watu wasiwe rigidly na kuishi maisha ya kupendana na kujaliana hoja kubwa ni kuwa hawa watu hutoa siri zote makao makuu ya dhehebu lao kwa siri.

2. Kwa hali ya siasa tuliyo nayo inapaswa kwanza kukubaliana na upepo wa sasa kwasababu ni ngumu kuubadili lakini mnapaswa kufikiri siasa zipi ziendane na wakati mlio nao badala ya kulia lia .

3.invisible part ni chama ambacho kinaweza kuwa kama praise part lakini kuchorq mwenendo na ku come up with extensively results how to overcome na ushindi.

4. Unaposikia sayansi ya siasa ni kufikiri kulingana na upepo uliopo .
Leo tunapoona makanisa yanatolewa waabudu waislamu huko America na mwisho unaona kabisa kubwa linajengwa uarabuni na kiongoz mkubwa wa dini ya kikristo anahudhuria na watu wengi wanakwenda kumlaki lazima ujihoji mtu aliyepikwa vizuri kwenye dini yake anashikaje msalaba na kwenda kumshangilia mtu wa dini nyingine? Hii inasound kwamba kumbe there is a church invisibility without the system knowing.

Kama vyama vitaacha kulia lia na kutengeneza system hizo results itawastua sana watawala maana wataona namna vyama vya upinzani vitakapo inuka na ushindi.
Nawaza tu lakini
 
Very good idea, but it's implementation need leaders with integrity.

Yes its need people who has integrity,visionary and who are committed brother Chief Kabikula
Watu ambao wasiri sana, waliotengewa fedha za kutosha familia zao zinatazamwa kwa uzuri. Mishahara yao inaweza kulipwa kama wafanyavyo wahindi vile yaani unatuma mwanao akachukue kwa fulani. Na hina kujuana.
 
Ushauri mzuri hasa kwa chama chenye mikakati.

Kwasababu kutwa wanashinda police au mahakamani wakati wenzao wanajiandaa alafu kutwa wanalalamika unadhani watashinda chaguzi? Ni lazima waandae strong invisible part
 
Umeongea Jambo La Maana Sana Mchakato Wa Uingereza Kujitoa Umoja Wa Ulaya Umekwamishwa Na Kuwepo Kitu Ulichokisema....

Watu Awa Kazi Yao Ni Kuangalia Wapi Kutakuwa Na Maslahi Mapana Kwa Nchi Kwenye Kujitoa Au Kubaki?

Ila Inaonekana Kuna Maslahi Zaidi Kwenye Kubaki Kuliko Kujitoa Mawaziri Wote Wakuu Wanaokuja Na Lengo La Kujitoa Wataanguka"
 
Umeongea Jambo La Maana Sana Mchakato Wa Uingereza Kujitoa Umoja Wa Ulaya Umekwamishwa Na Kuwepo Kitu Ulichokisema....

Watu Awa Kazi Yao Ni Kuangalia Wapi Kutakuwa Na Maslahi Mapana Kwa Nchi Kwenye Kujitoa Au Kubaki?

Ila Inaonekana Kuna Maslahi Zaidi Kwenye Kubaki Kuliko Kujitoa Mawaziri Wote Wakuu Wanaokuja Na Lengo La Kujitoa Wataanguka"

Moja ya mambo yanayoendeshwa duniani leo yanatazamwa katika jicho la tatu. Ni kazima kupima upepo na baadae kutazama maslahi mapana ya ushindi na namna ya kushinda.
Tatizo tunaangalia leo . Ukitaka kufanikiwa anza kuangalia kesho kutwa unaiona itakuwa ya namna gani kama utawekeza katika mipango kazi adilifu.
technically wapo watu very royal kufia chama ambao ni conservative hao ndio ambao wanaweza kutumiwa katika visibly ili kuleta ushindi strongly.


Leo tuna vijana wengi they speak loudly without affecting anything and they are very proudly kwamba wao ni miamba wa siasa while is nothing.

Nadhani ukitaka kushinda baada ya miaka kumi anza maandalizi leo.
 
kabisa kabisa mkuu.

hata wanaoshauri basi mwenye stuli apishe akae mwingine,utagundua kuna nguvu fulani isiyofahamika inatoka wapi,inapinga kabisaa.
 
kabisa kabisa mkuu.

hata wanaoshauri basi mwenye stuli apishe akae mwingine,utagundua kuna nguvu fulani isiyofahamika inatoka wapi,inapinga kabisaa.

Atmosphere ya chama itatoka kwa hao wafia chama wasioonekana ambao wao watawaambia wale wanaoonekana kwamba kwa hali ya upepo wa sasa aither mwenyekiti kaa pembeni au ongozi mzima ukae pembeni ili kuleta sura mpya. Invisible part ndio inayoangalia uhai wa chama na ndio wenye chama . Kwahiyo kwa hizi drama tunazoziona sasa wanasiasa watachelewa mno kufika wanakotaka. Ccm ipo hapo kwasababu inayomifumo madhubuti sana ambayo huwezi kuwatoa emotionally without being systematically in your programs
 
Back
Top Bottom