@invisible ...nina access na jukwaa la mmu tu sioni majukwaa mengine kwa nini

Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,347
11,610
ni mimi jamani au?
why mi?
mnaona nina shida ya mapenzi sana au?
sio fair
 
ni mimi jamani au?
why mi?
mnaona nina shida ya mapenzi sana au?
sio fair

Sio una shida ya mapenzi, bali una mapenzi hadi yana overflow.
Real kidsis hauna access na jukwaa la siasa?
 
Wengine tunatambaa kote Smile huenda umekuwa addicted na MMU....Though karibu wiki 2 sasa JF haijatulia kabisa...Mara sever not found na mengineyo
 
Sio una shida ya mapenzi, bali una mapenzi hadi yana overflow.
Real kidsis hauna access na jukwaa la siasa?
kweli dada toka jana mmu na jukwaa na wakubwa lile..sio fair
 
Smile, nadhani majukwaa yameanza kuspecialize watu wanaoyatembelea kwa sana kwa hiyo mmu imekuspecialize wewe. Si unajua hata google wameanza huo mtindo wa kukuletea habari zinazoendana na mapendeleo yako!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom