Invisible naomba majibu

kamagetac

JF-Expert Member
Jul 25, 2014
2,480
643
Mchana wa leo nimepost thread yangu kuhusu albino.

Lakini baadae nikaona alert inaniambia kuwa my thread was moved to a different forum.Lakini nilipojaribu kuifungua nione imepelekwa wapi ikasomeka kuwa you do not have permission to view the page.

Sasa imehamishwa na mmetoa ripoti,lakini ujumbe wenyewe hausomeki,hivi ni haki kweli mmenitendea?

Na kwa nini msimpm muhusika mumpe taratibu za kufanya,kama ni kulipia ili aweze kupata majibu ya maswali katika uzi wake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom